Matiti Kwa wanawake si suala moja kubwa sana sana kwani ndio hufanya kuongeza mvuto wake zaidi. Matiti yaliyo simama huvutia zaidi wanaume hivyo wanawake wengi hupenda kua na matiti yaliyo simama ili ili kufanya wanaume wavutiwe naye. Zipo sababu mbalimbali zinazo sababisha matiti ya mwanamke kulegea na kulala kabisa kama vile kunyonyesha, unene au maumbile. Kwahiyo leo tutaenda kuona baadhi ya mazoezi unayoweza ukayafanya na kukusaidia kufanya matiti yako yasimame.
1.Kutumia Fimbo
Shika fimbo yako huku umesimama wima inyooshe juu mfano wa mtu anae piga jim ipeleke mbele usawa wa nyuzi tisini kisha shusha chini. Rudia Zoezi Hilo mara kumi au zaidi mfululizo Huku ukihahikisha umesimama imara
2.Zoezi La kutumia chupa za Maji
Nyanyua Chupa zakoza maji upande wa kushoto na kulia kisha zikiwa zinauzito sawa. Itanue Mikono yako huku ukiwa umeshikiria imara chupa zako, kisha ibane mikono yako fanya hivo huku ukiongeza kasi ya kubana na kutanua mikono yako kwa dakika tano au zaidi. Mazoezi mengine unayo weza kufanya kwa kutumia chupa ni pamoja na Kunyanyua chupa na kupeleka juu na kurudisha chini.
3.Zoezi la Kutumia Kiti(Hip Dip)
Katika zoezi Hili Unatafuta sehemu iliyo na urefu kiasi kama vile kiti au sturi, kisha unaegemeza mikono yako kwenye sturi au kiti chako kisha taratibu unakua una panda juu na kushuk achini. Zoezi hili linakusaidia pia katika kuimarisha mikono, kifua pamoja na hipsi zako
4. Pushup
huku mikono yako umeegemeza kwenye kiti na miguu yako umeikunja kwa nyuma.
5.Cobra pose
Katika zoezi Hili lala huku ukiipindisha shingo yako kwa juu mithili ya nyoka anae buluza tumbo lake.
6.Plung to pushup
katika zoezi hili unalala na kunyoosha mikono yako juu na kushusha chini. Pia unaweza kutumia barafu ku massage matiti yako kwa muda wa dakika moja kila siku, massage maziwa yako rounded inaweza kusaidia kusamaisha maziwa yako
Asante endelea kufuatilia kurasa zetu na subscribe Channel Yetu Ya Youtube tiztu kwa habari na video zote zinazohusu Afya ,chakula na mazoezi.
https://youtu.be/RcxdLwC-reg Kalori ni nini? Kwa ufupi, kalori ni kitengo kinachopima nishati. Kalori hutumiwa kupima maudhui ya nishati ya vyakula na...
https://www.youtube.com/watch?v=iE8k-i0X9Xk&t=1s Jinsi Ya Kufanya Mazoezi Ya Body Balance Mazoezi ya Body balance yanasaidia sana katika msawaziko wa mwili na katika...
https://www.youtube.com/watch?v=qQiuay9fzAQ&t=1s Aina (4) Za Mazoezi Ya Kuzuia Maumivu Ya Hedhi Maumivu ya hedhi ni tatizo kubwa kwa wanawake wengi, hivyo...
https://www.youtube.com/watch?v=66VqjncGw0o Jinsi Ya Kufanya Zoezi La Squat Japo kuwa Squat ni zoezi zuri sana, lakini ukilikosea linaweza kukupa madhara badala...
https://www.youtube.com/watch?v=BoHY7B4M_EE Jinsi Ya Kutumia Tairi Katika Kujenga Mwili Wako Tairi ni moja ya nyenzo muhimu sana itakayo kusaidia katika mazoezi...
https://www.youtube.com/watch?v=QDu-HMqozgA&t=1s Kubadilisha lishe kunaweza kupunguza kwa kiasi kikubwa shinikizo la damu. Utafiti umeonyesha kuwa vyakula fulani vinaweza kupunguza shinikizo la...