Je, Ni Nini Husababisha Uzito Kubadilika Mara Kwa Mara?

Je, Ni vitu gani vinasababisha uzito kubadilika mara kwa mara?

Ni kitu cha kushangaza lakini ndo ukweli, mara nyingi kama umeshwahi kupima uzito na kuanza mchakato wa kupunguza uzito unaweza kushangwazwa na jinsi uzito wako unayobadilika badilika kama kinyonga, yaani leo unaweza kuwa na Kg 68 kesho 69 keshokutwa 65. Unazani hii husabishwa na nini?

Wakati mwingine sababu ya mabadiliko ya uzani wa kila siku ni dhahiri.Labda unakula chakula kingi kabla ya kulala wakati ambao ulisababisha kupata uzito, au umefanya mazoezi makali yaliyo sababisha kupunguza uzito.

Ikiwa unajaribu kupunguza uzito au kujenga mwili wako, unaweza kushawishika kuamini kwamba mabadiliko ya kila siku ya uzito wako yanasababiswa na kuchoma mafuta au kuongezeka mafuta mwilini. Inawezekana ikawa kweli lakini kuna mambo mengine mengi yanayoathiri uzito wako .

Wataalamu wa Afya wanasema kwamba uzito wako kubadilika kwa kupungua au kuongezeka kilo 2.5(kg) kwa siku ni kitu cha kawaida kwa watu, na unaweza kubadilika hadi 10kg kwa siku kwa watu wenye uzito au miili mikubwa.

Sababu za uzito wako kuwa na madabiliko ya mara kwa mara kila siku zinaweza kuwa kama zifuatazo.

Mabadiliko ya uzito kutokana na chunvi

Madini ya sodiamu ambyao hupatikana kwenye mwili husabisha mwili kufyonza maji na na kuyahifadhi mwilini, hali hii itasabisha uzito wa mwili unaotokana na maji kuongezeka. Na hii hutofauriana kuendana na mtu, kuna wengine miili yao hufyanza maji sana kutoka kwenye chumvi na mingine haifanyi hivyo.

Vilevile vyakula vya Baridi, vyakula viliyogandishwa na vyakula vyenye ladha tamu mara nyingi vinakua na kiasi kingi cha sodiamu.

Kama umeshawahi kunywa supu au mtoli wenye chumvi nyingi unaweza kushangaa kuongezeka kilo kadhaa ndani ya masaa machache.

Ni vema kuzingatia ulaji bora wa chumvi na vyakula vyenye sodiam kwa wingi ili kuweza kupunguza uzito kirahisi.

Uzito Kubadilika kutokana na matumizi ya wanga

Kama ni mpenzi wa Ugali, mikate, tambi, mchele na wanga nyinginezo, basi fahamu kwamba uzani wako unaoongezeka kwa siku kwa haraka unasabiswa na matumizi makubwa ya chakula cha wanga unachokula.

Wataalamu wa afya wanasema kwamba kwa kila gramu 1 (1g) ya wangu unayoingiza mwilini mwako, mwili wako utabaki takriban na gramu tatu za maji kwenye mwili wako ili kuweza kutunza nishati inatotokana na wanga.

Kwa sababu hiyo ikiwa unakula sana vyakula vya wanga , uzito wako utaongezeka sio kwa sababu ya mafuta yameongezeka bali kwa sababu uzito wa maji umeongezeka kwenye mwili wako. Na kama ulika vyakula vyenye wanga na chumvi nyingi kama vile wali wenye chumvi nyingi kwa pamoja basi uzito utaongezeka mara dufu.

Uzito Kubadilika kutokana na kiasi cha chakula unachokula.

Chakula tunachokula huwa kinaongeza uzito kwenye miili yetu pia. Mara nyingi vyakula hivi huwa vina maji maji na uzito mwingine ambao unapokula huongeza uzani wetu Hata baada ya chakula kusagwa na kusabazwa mwilini bado uzani wa taka mwili kama kinyesi na mkojo huuongeza pia uzito kwenye mwili wako

Kulingana na wataalam, utumiaji wa vikombe viwili vya maji huongeza uzito wako kwa 0.5kg. 

Kiasi cha chakula unachokula kinasababisha uzito wako upongezeke au upungue kama u,

Uzito Kubadilika kutokana kinyesi kwenye utumbo mpana.

Najua wengi hampendi kuzungumzia vinyesi venu……! Ila hili ni soma lazima tujifunze, hivi unafahamu kwamba kinyesi kina uzito? unajua kilogramu ngapi za kinyesi unachotoa kwa siku? Unatafiti watafiti, wachunguzi wamegundua kwamba unaweza kutoa gramu 125 hadi 170 za kinyesi kwa siku, na hii na kwa wale wanaoenda haja kubwa mara moja kwa siku.

Hata hivyo, tafiti zingine zinaripoti wastani wa uzani wa kinyesi kwa siku takribani gramu 106.

Hata baada ya kuondoa kinyesi mwilini mwetu bado taka mwili kama vile mikojo na Mzunguko mrefu wa chakula kwenye utumbo unasabaisha chakula hicho kifyonzwe zaidi hivyo hutaona  mabadiliko makubwa kwenye uzito wa mwili wako

Uzito Kubadilika kutokana Ufanyaji mazoezi.

Kufanya mazoezi kunaweza kupunguza uzito wa maji mwilini kutokana na kutokwa jasho jingi sana. Wataalamu wanasema kwamba kwa kawaida mtu hupoteza Lita 0.7 hadi 1.4 kwa kufanya mazoezi ndani ya lisaa limoja, japokuwa kiwango hiki hutegemea na hali ya hewa na mwili wa mtu inaweza kuwa juu au chini ya hapo. Hivyo kutokwa jasho kunaweza kupunguza kilo zako.

Ukiona kuwa umepunguza uzito mara kwa mara baada ya mazoezi, utahitaji kuja pamoja na mpango ulioboreshwa wa kuongeza maji mwilini. 

Aina nyinginezo za mazoezi zinaweza kusababisha mabadiliko ya uzito wako kwa kuoungeza, sishangae……. mazoezi yanaweza kuongeza uzito wako pia. Mazoezi kama ya Kuinua vitu vizito na ya kukuza misuli kama vile push up, squat husabisasha uzito wa mwili kuongezeka. Kwa sababa mazoezi haya husabaisha mikwaluzo kidogo kwenye misuli hivyo misuli hufyonza maji ili kutengeneza misuli hii husabisha misulu kutanuka na kukua, mazoezi haya hutumiwa zaidi na wanaotaka kushape mwili na kujenga mwili.

Uzito Kubadilika kutokana matumizi ya dawa

Kuna daadhi ya madawa huathiri jinsi mwili wako unavyofanya kazi, huongeza au kupunguza hamu ya kula na huweza kuathiri mmeng’enyo wa chakula mwilini mwako, hali hii husabisha uzito wa mwili wako kupungua au kuongezeka kuendana na dawa husika.

Iwapo una tumia dawa ya kutibu magonjwa kama vile kisukari, shinikizo la damu, matatizo ya mhemko, mshtuko wa moyo, maumivu wa kichwa, unaweza kugundua mabadiliko ya uzito katika mwili wako.

Usiache kutumia dawa endapo utaona mabadiliko ya uzito wako mwilini, na badala yake zungumza na daktari wako au mfamasia. Wakati mwingine uzito unakuwa wa kawaida unaotarajiwa, lakini wakati mwingine unaweza kuashiria kuwa kuna kitu kibaya.

Uzito Kubadilika kutokana Hedhi kwa mwanamke.

Wanawake wengi watapata ungezeko la maji mara na kabla ya kipindi chao cha hedhi, ongezeko la maji haya hufikia kilele cha juu siku moja baada ya kuanza hedhi. Kiwango hiki hupungua baada ya hedhi na uongezeka karibia na kipindi cha uchevushaji(ovulation) wa mayai.

Watafiti wengine wamegundua kwamba uhifadhi wa maji hautokani tu na mabadiliko ya homoni za ovari. Bali pia husababiswa na mabadiko ya maswaziko wa mwili na akili ambao unaweza kukupelekea kula sana au kutokula

Iwapo unajaribu kupunguza uzito wakati wa kipindi chako cha hedhi, ni muhimu kufahamu na kudhibiti wa chakula chako. 

Uzito Kubadilika kutokana utumiaji wa vileo.

Inawezekana unaweza kugundua mara moja uzito kupungua kutokana na matumizi ya vileo kuliko kawaida. Watafiti wamegundua hivi vileo vinaweza kutoa mkojo ndani ya dakika 20 na kuondoa kiwango kikubwa cha maji mwilini ndani ya mda mchache.

Hata hivyo, Kupunguzwa kwa maji mwilini kutokana na pombe huwa kunaufanya mwili kutafuta maji mengine kutoka kwenye chakula utakachokula. Hali hii itasababisha upungue uzito wakati ukiwa unakunywa na uongezeke uzito baade.

Lini uzito wangu utarudi kawaida?.

Mabadiliko haya ya uzito kwa siku sio jambo la kukuogopesha, Uzito huu hutokana na kuongezeka kwa maji na wala sio mafuta. Usiwe na wasiwasi mbadiliko haya yanapotokea cha kuzingatia ni kuendelea na mtindo bora wa maisha na chakula bora

Je, ni wakati gani unapaswa kuwa na wasiwasi kuhusu mabadiliko ya uzito wa kila siku?

Unaweza kuwa na wasiwasi kuhusu mabadiliko ya haraka ya uzito wako endapo uzito wako utaendelea kuongezea au kupungua ndani ya siku saba bila kubadilika. Mf leo umeongezeka kg 3 kesho zinaongezeka tena haraka , kesho kutwa hivyo hivyo au leo umepungua, kesho tena kilo zinapungua haraka ndani ya siku 5 au 7. Ukiona hali hii basi kunaweza kuwa na tatizo kwenye mwili wako wahi hospitali haraka!

TAZAMA VIDEO KUJIFUNZA ZAIDI

Asante endelea kufuatilia kurasa zetu na subscribe Channel Yetu Ya Youtube tiztu kwa habari na video zote zinazohusu Afya ,chakula na mazoezi.

Jiunge Na Programu za mazoezi na chakula hapa

Aina za Push-Ups—na Jinsi Zinavyokusaidia
BMI Chakula Kujenga Mwili Kujikinga kupungua uzito

Aina za Push-Ups—na Jinsi Zinavyokusaidia

Kwanini Usimnyamazishe Mtu Akilia, Na Nini Faida Ya Kulia?
Uncategorized

Kwanini Usimnyamazishe Mtu Akilia, Na Nini Faida Ya Kulia?

Lishe Bora Na Diet Ni nini?
BMI Chakula Kujenga Mwili Kujikinga kupungua uzito

Lishe Bora Na Diet Ni nini?

Aina za Protini za poda za Kujenga Misuli
BMI Chakula Kujenga Mwili Kujikinga kupungua uzito

Aina za Protini za poda za Kujenga Misuli

Kalori Tupu
kupungua uzito

Kalori Tupu

Athari za matumizi ya pombe kiafya
BMI Chakula Kujenga Mwili Kujikinga kupungua uzito

Athari za matumizi ya pombe kiafya

Kwa nini Wanaume  Hupunguza Uzito haraka?
kupungua uzito Mazoezi

Kwa nini Wanaume  Hupunguza Uzito haraka?

Je,Usingizi Ni Muhimu Kiasi Gani Kwa Afya na Tunahitaji Kwa Kiasi Gani?
Chakula Kujenga Mwili

Je,Usingizi Ni Muhimu Kiasi Gani Kwa Afya na Tunahitaji Kwa Kiasi Gani?

Aina Za Vyakula Vinavyo Ongeza Uzito Haraka
Chakula Kujenga Mwili kupungua uzito

Aina Za Vyakula Vinavyo Ongeza Uzito Haraka

Je, Ni Nini Husababisha Uzito Kubadilika Mara Kwa Mara?
Chakula Kujenga Mwili Kujikinga kupungua uzito

Je, Ni Nini Husababisha Uzito Kubadilika Mara Kwa Mara?

Jinsi Ya Kufanya Zoezi La (Wheel pose) Na Umuhimu Wake.
Kujenga Mwili kupungua uzito

Jinsi Ya Kufanya Zoezi La (Wheel pose) Na Umuhimu Wake.

Makosa 8 yanayo fanywa zaidi na mtu anae anza mazoezi ya GYM
Kujenga Mwili kupungua uzito

Makosa 8 yanayo fanywa zaidi na mtu anae anza mazoezi ya GYM

Je? Gramu ngapi za Mafuta – Unapaswa Kula Kwa Siku?
Chakula

Je? Gramu ngapi za Mafuta – Unapaswa Kula Kwa Siku?

Fahamu mbinu za kukwepa vibaka
Kujikinga Uncategorized

Fahamu mbinu za kukwepa vibaka

Je! Unapaswa Kula Kalori Ngapi Kwa Siku Ili Kupunguza Uzito?
Uncategorized

Je! Unapaswa Kula Kalori Ngapi Kwa Siku Ili Kupunguza Uzito?

Jinsi Ya Kufanya Mazoezi Ya Body Balance
Uncategorized

Jinsi Ya Kufanya Mazoezi Ya Body Balance

Aina (4) Za Mazoezi Ya Kuzuia Maumivu Ya Hedhi
Uncategorized

Aina (4) Za Mazoezi Ya Kuzuia Maumivu Ya Hedhi

Jinsi Ya Kufanya Zoezi La Squat
Uncategorized

Jinsi Ya Kufanya Zoezi La Squat

Jinsi Ya Kutumia Tairi Katika Kujenga Mwili Wako
Kujenga Mwili

Jinsi Ya Kutumia Tairi Katika Kujenga Mwili Wako

Vyakula Bora Kwa Kutibu Shinikizo La Damu 
kupungua uzito

Vyakula Bora Kwa Kutibu Shinikizo La Damu 

Aina za Push-Ups—na Jinsi Zinavyokusaidia
BMI Chakula Kujenga Mwili Kujikinga kupungua uzito

Aina za Push-Ups—na Jinsi Zinavyokusaidia

Aina za Push-Ups—na Jinsi Zinavyokusaidia. Pushup ni mojawapo ya mazoezi makubwa zaidi ya hali ya jumla kwa mwanariadha, na unaweza...
Read More
Kwanini Usimnyamazishe Mtu Akilia, Na Nini Faida Ya Kulia?
Uncategorized

Kwanini Usimnyamazishe Mtu Akilia, Na Nini Faida Ya Kulia?

Kwanini Usimnyamazishe Mtu Akilia, Na Nini Faida Ya Kulia? Kulia ni hisia za kuelezea vile mtu anavyojisikia. Ni hisia ambazo...
Read More
Lishe Bora Na Diet Ni nini?
BMI Chakula Kujenga Mwili Kujikinga kupungua uzito

Lishe Bora Na Diet Ni nini?

Lishe bora ni nini? Lishe bora ni mjumuisho wa vyakula vya aina tofauti tofauti ambavyo huupa mwili wako virutubishi vinavyohitajika...
Read More
Aina za Protini za poda za Kujenga Misuli
BMI Chakula Kujenga Mwili Kujikinga kupungua uzito

Aina za Protini za poda za Kujenga Misuli

Aina za Protini za poda za Kujenga Misuli Poda za protini zimekuwa na manufaa makubwa sana hasa kwa wanariadha ,washindani...
Read More
Kalori Tupu
kupungua uzito

Kalori Tupu

Kalori Tupu ni nini? Kalori tupu ni zile zinazotoa nishati lakini thamani yake ya lishe au virutubishi ni vya kiwango...
Read More
Athari za matumizi ya pombe kiafya
BMI Chakula Kujenga Mwili Kujikinga kupungua uzito

Athari za matumizi ya pombe kiafya

Athari za matumizi ya pombe kiafya. Madhara ya pombe hutofautiana kati ya mtu na mtu. Ingawa watu wengine wanaweza kupunguza...
Read More
Kwa nini Wanaume  Hupunguza Uzito haraka?
kupungua uzito Mazoezi

Kwa nini Wanaume  Hupunguza Uzito haraka?

Kwa nini Wanaume  Hupunguza Uzito haraka sana? Ingawa inaonekana kwamba wanaume huwa na kupoteza uzito haraka zaidi kuliko wanawake, hii...
Read More
Je,Usingizi Ni Muhimu Kiasi Gani Kwa Afya na Tunahitaji Kwa Kiasi Gani?
Chakula Kujenga Mwili

Je,Usingizi Ni Muhimu Kiasi Gani Kwa Afya na Tunahitaji Kwa Kiasi Gani?

Je,Usingizi Unaumuhimu gani Kwa Afya na Tunahitaji Kwa Kiasi gani? Utafiti wa kisayansi unaonyesha wazi kwamba usingizi ni muhimu katika...
Read More
Aina Za Vyakula Vinavyo Ongeza Uzito Haraka
Chakula Kujenga Mwili kupungua uzito

Aina Za Vyakula Vinavyo Ongeza Uzito Haraka

Aina Za Vyakula Vinavyo Ongeza Uzito Haraka Baadhi ya watu wengi hupata ugumu sana kuongeza uzito, sawa na wale wanao...
Read More
Je, Ni Nini Husababisha Uzito Kubadilika Mara Kwa Mara?
Chakula Kujenga Mwili Kujikinga kupungua uzito

Je, Ni Nini Husababisha Uzito Kubadilika Mara Kwa Mara?

Je, Ni vitu gani vinasababisha uzito kubadilika mara kwa mara? Ni kitu cha kushangaza lakini ndo ukweli, mara nyingi kama...
Read More
Jinsi Ya Kufanya Zoezi La (Wheel pose) Na Umuhimu Wake.
Kujenga Mwili kupungua uzito

Jinsi Ya Kufanya Zoezi La (Wheel pose) Na Umuhimu Wake.

Jinsi ya kufanya zoezi la Wheel pose katika yoga  Je, Wheel poseni nini?  Wheel Pose ni mkao wa yoga ambaya...
Read More
Makosa 8 yanayo fanywa zaidi na mtu anae anza mazoezi ya GYM
Kujenga Mwili kupungua uzito

Makosa 8 yanayo fanywa zaidi na mtu anae anza mazoezi ya GYM

Makosa 8 yanayo fanywa zaidi na mtu anae anza mazoezi ya GYM Unapo anza safari yako ya kujenga misuli kwa...
Read More
Je? Gramu ngapi za Mafuta – Unapaswa Kula Kwa Siku?
Chakula

Je? Gramu ngapi za Mafuta – Unapaswa Kula Kwa Siku?

Je? Gramu ngapi za Mafuta - Unapaswa Kula Kwa Siku? Mafuta ni sehemu muhimu ya mlo wako, lakini kufikiri ni...
Read More
Fahamu mbinu za kukwepa vibaka
Kujikinga Uncategorized

Fahamu mbinu za kukwepa vibaka

Ukiwa kama mtembezi wa usiku unakua unajihatarisha kukutana na vibaka (siyo majambazi) lakini kuishi kwangu maeneo mbali mbali sijawahi kukabwa...
Read More
Je! Unapaswa Kula Kalori Ngapi Kwa Siku Ili Kupunguza Uzito?
Uncategorized

Je! Unapaswa Kula Kalori Ngapi Kwa Siku Ili Kupunguza Uzito?

https://youtu.be/RcxdLwC-reg Kalori ni nini?  Kwa ufupi, kalori ni kitengo kinachopima nishati. Kalori hutumiwa kupima maudhui ya nishati ya vyakula na...
Read More
Jinsi Ya Kufanya Mazoezi Ya Body Balance
Uncategorized

Jinsi Ya Kufanya Mazoezi Ya Body Balance

https://www.youtube.com/watch?v=iE8k-i0X9Xk&t=1s Jinsi Ya Kufanya Mazoezi Ya Body Balance Mazoezi ya Body balance yanasaidia sana katika msawaziko wa mwili na katika...
Read More
Aina (4) Za Mazoezi Ya Kuzuia Maumivu Ya Hedhi
Uncategorized

Aina (4) Za Mazoezi Ya Kuzuia Maumivu Ya Hedhi

https://www.youtube.com/watch?v=qQiuay9fzAQ&t=1s Aina (4) Za Mazoezi Ya Kuzuia Maumivu Ya Hedhi Maumivu ya hedhi ni tatizo kubwa kwa wanawake wengi, hivyo...
Read More
Jinsi Ya Kufanya Zoezi La Squat
Uncategorized

Jinsi Ya Kufanya Zoezi La Squat

https://www.youtube.com/watch?v=66VqjncGw0o Jinsi Ya Kufanya Zoezi La Squat Japo kuwa Squat ni zoezi zuri sana, lakini ukilikosea linaweza kukupa madhara badala...
Read More
Jinsi Ya Kutumia Tairi Katika Kujenga Mwili Wako
Kujenga Mwili

Jinsi Ya Kutumia Tairi Katika Kujenga Mwili Wako

https://www.youtube.com/watch?v=BoHY7B4M_EE Jinsi Ya Kutumia Tairi Katika Kujenga Mwili Wako Tairi ni moja ya nyenzo muhimu sana itakayo kusaidia katika mazoezi...
Read More
Vyakula Bora Kwa Kutibu Shinikizo La Damu 
kupungua uzito

Vyakula Bora Kwa Kutibu Shinikizo La Damu 

https://www.youtube.com/watch?v=QDu-HMqozgA&t=1s Kubadilisha lishe kunaweza kupunguza kwa kiasi kikubwa shinikizo la damu. Utafiti umeonyesha kuwa vyakula fulani vinaweza kupunguza shinikizo la...
Read More
Load More