-
PROGRAMU YA KUSHEP MWILI KWA WANAWAKE WALIOJIFUNGUA
Sh 30000
-
PROGRAMU YA KUSHEP MWILI KWA WANAWAKE 45+
Sh 30000
-
PROGRAMU YA SIKU 28 WA KUPUNGUZA UZITO KWA WANAOANZA
Sh 30,000
- Programu hii ya siku 28 kwa ajili ya kupunguza uzito ni maalumu kwa wanaonza,
- mpangilio wa mazoezi (workout plan) Mazoezi yote ni ya kufanyia nyumbani bila vifaa vingi
- mpangilio wa chakula(diet plan) unaoendana na hali yako
- Kikokotoleo cha afya(fitness calculator) ambacho kitakuwezesha kujua Kiwango cha kalories, protein, fat, maji na BMI yako
- kila zoezi limeelezewa kwa njia ya sauti na animation na video
- utaweza kudownload mazoezi yote kwa mfumo wa PDF
- utaweza kudownload sauti na video
- mazoezi ni dakika 30 tu kwa siku na unafanya mara 3 kwa wiki
-
PROGRAM YA MAZOEZI YA KEGEL KWA WANAUME
Sh 20,000
- Mafunzo kwa Video, sauti, Picha na utaweza kupakua PDF.
- Mada Zilizomo:
- -Mazoezi ya kegel kwa wanaume ni nini?
- -Misuli ya Chini ya Nyonga Ni ipi?
- -Chanzo cha Misuli ya Chini ya Nyonga kulegea
- -Jinsi ya kufahamu kama misuli yako imelegea
- -Hatua kwa hatua jinsi ya kufanya mazoezi ya kegel.
- -Mazoezi Ya Kujizuia Kufika Kileleni Mapema
- -Jinsi Ya Kupima size Ya Uume Wako
- -Jinsi Ya Kuongeza ukubwa wa uume kwa kufanya Massage
- -Mazoezi (50+) ya Viungo Ya Kuongeza Nguvu Za Kiume
- -Vyakula Vya Kuongeza Nguvu Za Kiume
- -Vyakula Vinavyopunguza Nguvu Za Kiume
-
PROGRAM YA MAZOEZI YA KEGEL KWA WANAWAKE
Sh 30,000
- Mafunzo kwa mfumo wa Video, sauti, Picha na PDF
- Mada Zililzomo:
- -Mazoezi ya kegel kwa wanawake ni nini?
- -Misuli ya Chini ya Nyonga kwa mwanamke Ni ipi?
- -Chanzo cha Misuli ya Chini ya Nyonga kwa mwanamke kulegea
- -Jinsi ya kufahamu kama misuli yako ya Uke imelegea
- -Hatua kwa hatua jinsi ya kufanya mazoezi ya kegel.
- -Jinsi ya Kutunza Uke wako
- -Mazoezi Ya Viungo zaidi ya (50+) Ya Kufanya Uke Mnato
- -Vyakula bora kwa Afya Ya Uke wako
- -Vyakula Vibaya kwa Afya Uke Wako
-
PROGRAMU YA SIKU (30) YA KUTENGENEZA MWILI KWA WANAUME
Sh 30,000