
Aina za Push-Ups—na Jinsi Zinavyokusaidia
Aina za Push-Ups—na Jinsi Zinavyokusaidia. Pushup ni mojawapo ya mazoezi makubwa zaidi ya hali ya jumla kwa mwanariadha, na unaweza
Programu zetu zinalenga sio tu kukufanya uweze kufanya mazoezi, lishe na kufikia malengo yako bali pia kukufanya uweze kutengeneza mfumo mzuri wa maisha utakaoweza kufanya tatizo lako lisijirudie tena.
Hiki ni kikokoteleo cha mtandaoni kwa ajili ya kufahamu kiwango cha uzito wako, kitakuwezesha kufahamu afya yako kwa kujua kiwango cha uzito wako kama ni sahihi na salama
Kikokotoleo cha karolisi kinakuwezesha kufahamu kiwango cha karolisikinachohitajika kwenye mwili wako kwa siku, ili kuweza kukusaidia kupangilia milo yako
Kikokotoleo cha mafuta kinakuwezesha kufahamu kiwango cha mafuta ulichonacho mwilini na kukusaidia kufahamu kama mafuta mwilini kwako yamezidi au yamepungua
Ni wakati wako sasa wa kuwa vile unavyotaka
TizTu tunawasaidia watu kwa njia ya mtandao, kupunguza uzito, kuchoma mafuta ya tumbo(kuondoa kitambi), kutengeneza umbo zuri la mwili, kujenga misuli, kuongeza kujiamini na kuzuia kuzeeka haraka
Programu zetu zote zimetengenezwa kwa malengo yako binafsi, Tutaanda mpangilio wa mazoezi na lishe inayoendana na matakwa yako na uhalisia wa maisha yako. Tutakusaidia uweze kubadilisha maisha yako na kuishi bila matatizo ya unene na kufurahia maisha yako. Uzuri wa progamu zetu ni kwamba hazihitaji mpaka uwe na vifaa ndipo uweze kufanya mazoezi tutakuandalia programu ambazo unaweza kufanya bila hata vifaa vya mazoezi wakati wowote mahali popote kwa kutumia simu yako ya mkononi.
Tunaandaa mpango wa chakula na mazoezi kuendana na hali ya maisha yako na mazingira yako, tunazingatia kukupa mpango utakaoleta matokeo mazuri kwako.
Utaunganishwa na akaunti binafsi ambayo itakuwezesha kuona mazoezi yako yote, kupokea taarifa kuhusu programu zako na kuweza kuongea na mwalimu wako moja kwa moja
Mazoezi yatatengezewa kwa mfumo wa video ili kuweza kukufundisha hatua kwa hatua jinsi mazoezi yote yanavyofanyika.
Mwalimu wako ataweza kukufuatilia na kukusaidia pale utakapomuhitaji kupitia simu yako ya mkononi wakati wote mahali popote.
Tutakufundisha hatua kwa hatua, kukuelimisha, kukutia nguvu, na kukupa ari ya kuendelea na safari yako hadi pale utakapo fikia malengo yako.
Nilijaribu mara nyingi kujiunga Gym tofauti na kupata walimu binafsi tofauti wa mazoezi lakini sikupata matokeo mazuri kama nilivyozania. Lakini mara tu nilipopata programu za TizTu nilijua zitanisaidia kufikia malengo yangu na kubadili maisha yangu. Na kweli ilikuwa hivyo, walipanga mazoezi yao katika utaalamu na wenye kufurahisha ni kitu kilichonihamashisha kuweza kufanikisha lengo langu...Asante sana TizTu!
TizTu wanajali sana wateja na wanajua wateja wanachohitaji, wanatengeneza programu zao kuendana na matakwa ya mteja, nimevutiwa sana na moyo wao wa kuwasaidia wateja, utaalamu wao na uhusiano wao na wateja, walinihamashisha kufanya vizuri zaidi, na pia wanajua kwa uwezo wangu wa kufikia lengo langu. Walinisaidia kubadilisha mawazo zangu kutoka hasi hadi chanya na kuweza kubadilika kutoka vile nilivyofikiria kuwa hadi nilivyotakiwa kuwa. Mnasitahili pongezi kutoka kwangu!!
Aina za Push-Ups—na Jinsi Zinavyokusaidia. Pushup ni mojawapo ya mazoezi makubwa zaidi ya hali ya jumla kwa mwanariadha, na unaweza
Kwanini Usimnyamazishe Mtu Akilia, Na Nini Faida Ya Kulia? Kulia ni hisia za kuelezea vile mtu anavyojisikia. Ni hisia ambazo
Lishe bora ni nini? Lishe bora ni mjumuisho wa vyakula vya aina tofauti tofauti ambavyo huupa mwili wako virutubishi vinavyohitajika
Ikiwa unaweza kudumisha mpango wa kuinua na kula upungufu wa kalori, mwili wako utaweza kuvuta kutoka kwa duka zake za mafuta kwenda kwa mafuta yenyewe na uwezekano wa kujenga misuli. Kipaumbele cha vyakula vyenye protini nyingi ni sehemu muhimu kwa wote kupoteza mafuta mwilini na kujenga misuli kwa wakati mmoja.
You will learn how to do exercises properly for maximum benefit to your physique, as well as get smartphone app access to tailored training regimes to suit your fitness level and desired pace.