Programu Zetu

Tutakusaidia uweze kubadilisha maisha yako na kuishi bila matatizo ya unene na kufurahia maisha yako. Uzuri wa progamu zetu ni kwamba hazihitaji mpaka uwe na vifaa ndipo uweze kufanya mazoezi

Karibu kwenye Programu Zetu

Programu zetu za chakula na mazoezi zimendaliwa kuendana na wewe, tunaanda mpangilio wa chakula(meal plan) kuendana na mazingira uliyopo na aina ya chakula kinachopatikana kwenye eneo lako. Pia tunandaa mazoezi kuendana na afya yako, uzefu, mazingira unayoishi, kazi na jinsia yako. Tunandaa mpango wa chakula na mazoezi kuendana na maisha yako ya kila siku. Tutakufundisha hatua kwa hatua, kukuelimisha, kukutia nguvu, na kukupa ari ya kuendelea na safari yako hadi pale utakapo fikia malengo yako.. Tuna programu tofauti tofauti kama vile za Kegel, kupunguza uzito, kutengeneza mwili(shepu), kuondoa kitambi na kujenga mwili. 

 

Programu Zetu Zinahushisha

Mpangilio Wa Chakula( Diet)

Katika programu zetu utapata mwongozo wa chakula unachotakiwa kula ili kuweza kutimiza malengo yako

Mpangilio wa mazoezi(workout plan)

Hapa utapangiwa mazoezi kutendana na lengo lako, mazoezi haya yatakuwa yale unayoweza kuyafanya nyumbani

Ushauri Nasaha

Utapewa ushauri wa jinsi unavyotakiwa kuishi ili kuweza kudumu katika hali nzuri unayoihitaji bili tatizo kujirudia .

Program ya Siku 28 Kupungua Uzito

Programu hii ya siku 28 inalenga kupunguza uzito ndani ya wiki nne, imeandaliwa kwa watu wanaonza na wanataka kujaribu kupungua uzito. Itakupa changamoto ya kupunua uzito ndani ya mda mfupi, Ni vizuri kuzingatia afya yako kabla hujajaribu programu hii ya kupunguza uzito.

NI PROGRAM MAALUMU WA WANAOANZA (Biginner),Program hii inajumuisha

Programu ya Mazoezi Ya Mazoezi Ye Kegel Kwa Wanaume

Hii ni progrmu maalumu ya mazoezi ya Kegel kwa wanaume inayohushisha mazoezi ya kegel na mpangilio wa chakula kwa wanaume,  Programu hii itamsaidia mwanaume kutengenza misuli yake ya nyonga, uume, na pia kukuza uwezo wake wa kushiriki tendo la ndoa. Utaweza Kudownloa(pakua) videom picha na nakala za mafunzo. Mazoezi yatatengenezwa kwa mfumo wa video na maandishi. Utaweza kutumia programu hii kupitia simu yako ya mkononi mahali popote wakati wowote

Mada Zililzomo ni kama zifuatazo:

Programu ya Mazoezi Ya Mazoezi Ye Kegel Kwa Wanawake

Programu ya mazoezi ya kegel kwa wanawake, hii ni programu maalum kwa wanawake kwa ajili ya kuimarisha viungo vyao vya uzazi(uke). programu hii itajumuisha pia mpango wa chakula (meal plan) na mazoezi ya viungo (workout plan). Mazoezi haya yatasaidia mwanamke kubana misuli ya uke wake na kuweza kufurahia tendo la ndoa yeye na mwenzi wake. 

  • Mazoezi yatatengenezwa kwa mfumo wa video na maandishi
  • utaweza kutumia programu hii kupitia simu yako ya mkononi mahali popote wakati wowote
  • Utaweza Kudownloa(pakua) videom picha na nakala za mafunzo

Programu hii itahusisha mada kama zifuatazo.

Je Unahitaji msaada? Tuko hapa kwa ajili yako, Uliza tutakujibu