Makundi Ya Vyakula Na Umuhimu Wake Mwilini

Makundi Ya Vyakula Na Umuhimu Wake Mwilini

CHAKULA ni muhimu kwa maisha ya binadamu kwani humwezesha kupata nguvu
na virutubisho ambavyo husaidia kuujenga mwili na kuupa kinga dhidi ya maradhi mbalimbali. Kuna aina za vyakula ambavyo pia vina kazi tofauti mwilini na vina virutubisho tofautitofauti, hivyo mtu anatakiwa kula vyakula vya aina mbalimbali kwani aina moja haiwezi kuwa na virutubisho vyote vinavyohitajika mwilini. Virutubisho vina kazi maalumu mwilini na hii huwezesha mfumo wa mwili kufanya kazi vizuri.Yapo Makundi Makuu manne ya vyakula
1.Wanga(Cabohydrates Foods)
2.Mafuta
3.Vitamin
4.Protein

1.Cabohydrate(Wanga)

Jifunze zaidi kuhusu vyakula vya wanga hapa

Hivi Ni Vyakula vya Nafaka Kazi kubwa ya vyakula hivi ni huupa
Mwili nishati mfano vya vyakula hivi ni pamoja na Ngano, Mahindi, Mchele ,Mikate Viazi
mihogo vyakula hivi vina wanga kwa kiasi kikubwa

2.Protein

Jifunze zaidi kuhusu vyakula vya protein hapa

Vyakula vyenye protini ni pamoja na nyama ya ng’ombe, mbuzi, kondoo,
nguruwe, kuku, bata, samaki nk.Protini pia hupatikana kwa kula mayai, maziwa na kunde, maharage, soya,
dengu, choroko, njegere, mbaazi, na njugu mawe.

3.Vitamini

Kuna vitamini mbalimbali ambazo ni Vitamini A, Vitamini B, Vitamini C,
Vitamini, D na nyinginezo.Vitamini A ni muhimu katika ukuaji hasa kwa watoto na utengenezaji wa
chembechembe za mwili.
Husaidia kuongeza kinga mwilini na kuwezesha macho kufanya kazi vizuri.
Vitamini A ni muhimu katika kutunza ngozi.Vitamini A, hupatikana katika matunda na mboga zenye rangi ya machungwa na manjano, kama vile karoti, viazi vitamu vya manjano, maembe, na nyanya.
Pia hupatikana katika mboga za majani, maini na maziwa.Vitamini A husaidia kuzuia magonjwa mbalimbali hasa yanayosababisha ngozi kubabuka hasa katika zile sehemu zinazopigwa na jua au kama chakula
kinashindwa kusagika vizuri na kusababisha kuharisha. Ukosefu wa vitamin B unasababisha beriberi, ugonjwa unaofanya mtu kupungua uzito, moyo unaweza kuwa mkubwa, miguu kuvimba na kujaa maji.Ukosefu wa vitamini B pia unaweza kusababisha midomo kupasuka na dalili nyinginezo. Hupatikana katika mboga za majani kama vile spinachi, mchicha, matembele na kadhalika.Vitamini C ni muhimu mwilini, husaidia ukuaji, kuongeza kinga mwilini na kusaidia mwili kutumia madini ya chuma. Kwahiyo wakati wa kuandaa chakula chakula chako hakikisha unajumuisha aina ote
za vyakula kuna baadhi yaa vyakula ukiitumia vinakuwa vina aina nyingi za virutubisho kwa wakati mmoja kama vile Maziwa,Mayai na Maharage

4. Vyakula vyenye mafuta

Vyakula vyenye mafuta huleta joto mwilini, na vile vile huleta nguvu mwilini na kulinda. Hulainisha ngozi na pia utando (membrane).

Mafuta hutokana na mimea na huwa yanauzwa madukani kama vile,mafuta ya karanga, alizeti, nazi, ufuta, korosho, mawese, mbegu za maboga, mbegu za pamba.

Asante endelea kufuatilia kurasa zetu na subscribe Channel Yetu Ya Youtube tiztu kwa habari na video zote zinazohusu Afya ,chakula na mazoezi.

Jiunge Na Programu za mazoezi na chakula hapa

Aina za Push-Ups—na Jinsi Zinavyokusaidia
BMI Chakula Kujenga Mwili Kujikinga kupungua uzito

Aina za Push-Ups—na Jinsi Zinavyokusaidia

Aina za Push-Ups—na Jinsi Zinavyokusaidia. Pushup ni mojawapo ya mazoezi makubwa zaidi ya hali ya jumla kwa mwanariadha, na unaweza...
Read More
Kwanini Usimnyamazishe Mtu Akilia, Na Nini Faida Ya Kulia?
Uncategorized

Kwanini Usimnyamazishe Mtu Akilia, Na Nini Faida Ya Kulia?

Kwanini Usimnyamazishe Mtu Akilia, Na Nini Faida Ya Kulia? Kulia ni hisia za kuelezea vile mtu anavyojisikia. Ni hisia ambazo...
Read More
Lishe Bora Na Diet Ni nini?
BMI Chakula Kujenga Mwili Kujikinga kupungua uzito

Lishe Bora Na Diet Ni nini?

Lishe bora ni nini? Lishe bora ni mjumuisho wa vyakula vya aina tofauti tofauti ambavyo huupa mwili wako virutubishi vinavyohitajika...
Read More
Aina za Protini za poda za Kujenga Misuli
BMI Chakula Kujenga Mwili Kujikinga kupungua uzito

Aina za Protini za poda za Kujenga Misuli

Aina za Protini za poda za Kujenga Misuli Poda za protini zimekuwa na manufaa makubwa sana hasa kwa wanariadha ,washindani...
Read More
Kalori Tupu
kupungua uzito

Kalori Tupu

Kalori Tupu ni nini? Kalori tupu ni zile zinazotoa nishati lakini thamani yake ya lishe au virutubishi ni vya kiwango...
Read More
Athari za matumizi ya pombe kiafya
BMI Chakula Kujenga Mwili Kujikinga kupungua uzito

Athari za matumizi ya pombe kiafya

Athari za matumizi ya pombe kiafya. Madhara ya pombe hutofautiana kati ya mtu na mtu. Ingawa watu wengine wanaweza kupunguza...
Read More
Kwa nini Wanaume  Hupunguza Uzito haraka?
kupungua uzito Mazoezi

Kwa nini Wanaume  Hupunguza Uzito haraka?

Kwa nini Wanaume  Hupunguza Uzito haraka sana? Ingawa inaonekana kwamba wanaume huwa na kupoteza uzito haraka zaidi kuliko wanawake, hii...
Read More
Je,Usingizi Ni Muhimu Kiasi Gani Kwa Afya na Tunahitaji Kwa Kiasi Gani?
Chakula Kujenga Mwili

Je,Usingizi Ni Muhimu Kiasi Gani Kwa Afya na Tunahitaji Kwa Kiasi Gani?

Je,Usingizi Unaumuhimu gani Kwa Afya na Tunahitaji Kwa Kiasi gani? Utafiti wa kisayansi unaonyesha wazi kwamba usingizi ni muhimu katika...
Read More
Aina Za Vyakula Vinavyo Ongeza Uzito Haraka
Chakula Kujenga Mwili kupungua uzito

Aina Za Vyakula Vinavyo Ongeza Uzito Haraka

Aina Za Vyakula Vinavyo Ongeza Uzito Haraka Baadhi ya watu wengi hupata ugumu sana kuongeza uzito, sawa na wale wanao...
Read More
Je, Ni Nini Husababisha Uzito Kubadilika Mara Kwa Mara?
Chakula Kujenga Mwili Kujikinga kupungua uzito

Je, Ni Nini Husababisha Uzito Kubadilika Mara Kwa Mara?

Je, Ni vitu gani vinasababisha uzito kubadilika mara kwa mara? Ni kitu cha kushangaza lakini ndo ukweli, mara nyingi kama...
Read More
Jinsi Ya Kufanya Zoezi La (Wheel pose) Na Umuhimu Wake.
Kujenga Mwili kupungua uzito

Jinsi Ya Kufanya Zoezi La (Wheel pose) Na Umuhimu Wake.

Jinsi ya kufanya zoezi la Wheel pose katika yoga  Je, Wheel poseni nini?  Wheel Pose ni mkao wa yoga ambaya...
Read More
Makosa 8 yanayo fanywa zaidi na mtu anae anza mazoezi ya GYM
Kujenga Mwili kupungua uzito

Makosa 8 yanayo fanywa zaidi na mtu anae anza mazoezi ya GYM

Makosa 8 yanayo fanywa zaidi na mtu anae anza mazoezi ya GYM Unapo anza safari yako ya kujenga misuli kwa...
Read More
Je? Gramu ngapi za Mafuta – Unapaswa Kula Kwa Siku?
Chakula

Je? Gramu ngapi za Mafuta – Unapaswa Kula Kwa Siku?

Je? Gramu ngapi za Mafuta - Unapaswa Kula Kwa Siku? Mafuta ni sehemu muhimu ya mlo wako, lakini kufikiri ni...
Read More
Fahamu mbinu za kukwepa vibaka
Kujikinga Uncategorized

Fahamu mbinu za kukwepa vibaka

Ukiwa kama mtembezi wa usiku unakua unajihatarisha kukutana na vibaka (siyo majambazi) lakini kuishi kwangu maeneo mbali mbali sijawahi kukabwa...
Read More
Je! Unapaswa Kula Kalori Ngapi Kwa Siku Ili Kupunguza Uzito?
Uncategorized

Je! Unapaswa Kula Kalori Ngapi Kwa Siku Ili Kupunguza Uzito?

https://youtu.be/RcxdLwC-reg Kalori ni nini?  Kwa ufupi, kalori ni kitengo kinachopima nishati. Kalori hutumiwa kupima maudhui ya nishati ya vyakula na...
Read More
Jinsi Ya Kufanya Mazoezi Ya Body Balance
Uncategorized

Jinsi Ya Kufanya Mazoezi Ya Body Balance

https://www.youtube.com/watch?v=iE8k-i0X9Xk&t=1s Jinsi Ya Kufanya Mazoezi Ya Body Balance Mazoezi ya Body balance yanasaidia sana katika msawaziko wa mwili na katika...
Read More
Aina (4) Za Mazoezi Ya Kuzuia Maumivu Ya Hedhi
Uncategorized

Aina (4) Za Mazoezi Ya Kuzuia Maumivu Ya Hedhi

https://www.youtube.com/watch?v=qQiuay9fzAQ&t=1s Aina (4) Za Mazoezi Ya Kuzuia Maumivu Ya Hedhi Maumivu ya hedhi ni tatizo kubwa kwa wanawake wengi, hivyo...
Read More
Jinsi Ya Kufanya Zoezi La Squat
Uncategorized

Jinsi Ya Kufanya Zoezi La Squat

https://www.youtube.com/watch?v=66VqjncGw0o Jinsi Ya Kufanya Zoezi La Squat Japo kuwa Squat ni zoezi zuri sana, lakini ukilikosea linaweza kukupa madhara badala...
Read More
Jinsi Ya Kutumia Tairi Katika Kujenga Mwili Wako
Kujenga Mwili

Jinsi Ya Kutumia Tairi Katika Kujenga Mwili Wako

https://www.youtube.com/watch?v=BoHY7B4M_EE Jinsi Ya Kutumia Tairi Katika Kujenga Mwili Wako Tairi ni moja ya nyenzo muhimu sana itakayo kusaidia katika mazoezi...
Read More
Vyakula Bora Kwa Kutibu Shinikizo La Damu 
kupungua uzito

Vyakula Bora Kwa Kutibu Shinikizo La Damu 

https://www.youtube.com/watch?v=QDu-HMqozgA&t=1s Kubadilisha lishe kunaweza kupunguza kwa kiasi kikubwa shinikizo la damu. Utafiti umeonyesha kuwa vyakula fulani vinaweza kupunguza shinikizo la...
Read More
Load More