zoezi hili la download unainua mguu mmoja wa nyuma na kuuzungusha kushoto na kulia.Hii inasaidia ile misuli na nyamanyama pembeni mwa tumbo kupata mitikisiko kidogo hivyo kusaidia kuyeyuka mwa mafuta yaliyo rundikana pembeni mwa tumbo,
Fanya zoezi hili ndani ya sekunde ishiriNI au zaidi, Fanya hivo kwa miguu yote wa kushoto na kulia.
02.Fire Hydration
Katika zoezi hili utainua mguu wako na kuutanua kiubavu huku ukipandisha juu na chini.
03.Mountain climber
Katika zoezi hili utapishanisha miguu wa kushoto na kulia ukiwa unaipeleka mbele na nyuma
Fanya hivo ndani ya sekunde ishirini au zaidi
04.Russian twist
Hili ni zoezi ambalo unainyanua miguu yako huku ukiwa umekaa chini na kuinyoosha mikono yako upande mmoja na upane mwingine.
wakati wa kuipishanisha mikono yako unaweza pia ukawa umeshikilia kitu chochote chenye uzito fulani,
Fanya zoezi hili ndani ya sekunde ishirini au zaidi
5.zoezi la kunyanyuka na kugusa visigino vyako
Katika zoezi hili unlala huku ukinyanyuka ka kugusa visigino vyako upavya mguu wa kushoto na kulia kwa kila mkono na uande wake, Utahesbu mara kumikumi kwa seti tatu tatu
6.Zoezi la kugusianisha kiwiko cha mkono na goti lako(viscoriding).
katika zoezi hili utaenda seti kumi mara tatutatu
7.Zoezi la kupandisha mguu juu na kushusha chini
katika zoezi hili uainua mguu wako mmoja mmoja hu ukiwa umelala chali fanya hivo ndani ya dakika ishirini au zaidi huku ukibadilisha miguu.
8.zoezi la kulala chini kiubavu huku ukinyanyua miguu yako na kuinyoosha kwenda mbele na nyuma
Asante endelea kufuatilia kurasa zetu na subscribe Channel Yetu Ya Youtube tiztu kwa habari na video zote zinazohusu Afya ,chakula na mazoezi.
https://youtu.be/RcxdLwC-reg Kalori ni nini? Kwa ufupi, kalori ni kitengo kinachopima nishati. Kalori hutumiwa kupima maudhui ya nishati ya vyakula na...
https://www.youtube.com/watch?v=iE8k-i0X9Xk&t=1s Jinsi Ya Kufanya Mazoezi Ya Body Balance Mazoezi ya Body balance yanasaidia sana katika msawaziko wa mwili na katika...
https://www.youtube.com/watch?v=qQiuay9fzAQ&t=1s Aina (4) Za Mazoezi Ya Kuzuia Maumivu Ya Hedhi Maumivu ya hedhi ni tatizo kubwa kwa wanawake wengi, hivyo...
https://www.youtube.com/watch?v=66VqjncGw0o Jinsi Ya Kufanya Zoezi La Squat Japo kuwa Squat ni zoezi zuri sana, lakini ukilikosea linaweza kukupa madhara badala...
https://www.youtube.com/watch?v=BoHY7B4M_EE Jinsi Ya Kutumia Tairi Katika Kujenga Mwili Wako Tairi ni moja ya nyenzo muhimu sana itakayo kusaidia katika mazoezi...
https://www.youtube.com/watch?v=QDu-HMqozgA&t=1s Kubadilisha lishe kunaweza kupunguza kwa kiasi kikubwa shinikizo la damu. Utafiti umeonyesha kuwa vyakula fulani vinaweza kupunguza shinikizo la...