Faida Za Kujenga Kifua Kwa Wanaume

Faida Za Kujenga Kifua Kwa Wanaume

Yapo mazoezi ya aina mbalimbali yanayo kusaidia katika kujenga mwili hususani kwa mwanaume

01.Pushup

Gym man push-up strength pushup exercise with dumbbell in a fitness workout

Hili ni zoezi zuri sana katika kujenga mwili, kufanya zoezi hili hufanya kutanua kifua hivyo unakua na pumzi ya kutosha ndo maana wakimbiaji wengi wa mbio fupi kama vile mita mia zoezi kubwa kwao wanalokua wanalifanya ni kupiga pushup

pia pushup inasaidia kujaza misuli ya mikono hivyo kwa wale wanao fanya kazi ya kupigana linakua zoezi hili ni muhimu sana kwao

pia pushup inakufanya mwili wako kua na balance hivyo hata ukiwa unakimbia kwa spidi kali sana hautaweza kudondoka kirahisi.

02.Kunyanyua vitu vizito(gmy).

Lifting barbell in gym

Zoezi la gym ni sawa kabisa na na pushup kwani linasaidia kujenga misuli ya mikono na na kutanua kifua

umhimu wa mazoezi haya

1. MAZOEZI YA KUNYANYUA VITU VIZITO YANAONGEZA UWEZO WA AKILI KUFANYA KAZI VIZURI
Mazoezi ya kunyanyua vyuma yanachochea uzalishaji wa homoni kama BDNF (Brain-Derived Neurotrophic Factor), homoni hizi husaidia uzalishaji wa seli mpya za ubongo. Bila kusahau mazoezi ya kunyanyua vitu vizito yanachangia kwa kiasi kikubwa kuongeza ukubwa wa ” hippocampus”,hii ni sehemu ya ubongo inayohusika na uhifadhi kumbukumbu.
Unataka kuwa “smart” kwa kichwa?

Kama jibu ni ndiyo, basi anza kufanya mazoezi ya kunyanyua vitu vizito, lakini usiache kusoma vitabu pia.

2. MAZOEZI YA KUNYANYUA VITU VIZITO YANAONGEZA FURAHA
Watu wanaonyanyua vitu vizito ni watu wenye furaha sana. Ni kawaida kumuona mtu anayefanya mazoezi ya kunyanyua vitu vizito akiwa na tabasamu muda wote. Hali hii inasababishwa na uzalishaji mkubwa wa kemikali za “endorphins” kwenye miili ya watu wanaonyanyua vitu vizito. Kemikali hizi huzalishwa mwilini kwa lengo la kuufanya mwili usihisi maumivu pindi unapofanya mazoezi ya Kunyanyua vitu vizito.

3. MAZOEZI YA KUNYANYUA VITU VIZITO YANALETA ULALAJI MZURI

Watu wanaonyanyua vitu vizito huwa wanalala usingizi mzuri sana, huwa hawana matatizo ya kukosa usingizi. Ulalaji mzuri ni sehemu ya kujenga afya, anza kufanya mazoezi haya.

4. MAZOEZI YA KUNYANYUA VITU VIZITO YANAONGEZA HOMONI ZA KIUME

Watu wanaonyanyua vitu vizito wana kiwango kikubwa sana cha homoni za testosterone, hizi ni homoni muhimu katika kujenga mwili wa mwanaume. Kiwango kidogo cha homoni za testosterone huweza kusababisha uchovu, kudumaa na kukosa nguvu za kiume.

5. MAZOEZI YA KUNYANYUA VITU VIZITO YANAONGEZA UWEZO WA KUJIAMINI
Watu wanaonyanyua vitu vizito ni watu wanaojiamini sana, hii inasababishwa na miili yao kujengeka vizuri. Lakini pia utafiti unaonesha kuwa kitendo cha kunyanyua vitu vizito pekee kinatosha kukufanya ufurahie muonekano wa mwili wako hivyo hiyo hali inakuongezea uwezo wa kujiamini mbele za watu.

Asante endelea kufuatilia kurasa zetu na subscribe Channel Yetu Ya Youtube tiztu kwa habari na video zote zinazohusu Afya ,chakula na mazoezi.

Jiunge Na Programu za mazoezi na chakula hapa

Aina za Push-Ups—na Jinsi Zinavyokusaidia
BMI Chakula Kujenga Mwili Kujikinga kupungua uzito

Aina za Push-Ups—na Jinsi Zinavyokusaidia

Kwanini Usimnyamazishe Mtu Akilia, Na Nini Faida Ya Kulia?
Uncategorized

Kwanini Usimnyamazishe Mtu Akilia, Na Nini Faida Ya Kulia?

Lishe Bora Na Diet Ni nini?
BMI Chakula Kujenga Mwili Kujikinga kupungua uzito

Lishe Bora Na Diet Ni nini?

Aina za Protini za poda za Kujenga Misuli
BMI Chakula Kujenga Mwili Kujikinga kupungua uzito

Aina za Protini za poda za Kujenga Misuli

Kalori Tupu
kupungua uzito

Kalori Tupu

Athari za matumizi ya pombe kiafya
BMI Chakula Kujenga Mwili Kujikinga kupungua uzito

Athari za matumizi ya pombe kiafya

Kwa nini Wanaume  Hupunguza Uzito haraka?
kupungua uzito Mazoezi

Kwa nini Wanaume  Hupunguza Uzito haraka?

Je,Usingizi Ni Muhimu Kiasi Gani Kwa Afya na Tunahitaji Kwa Kiasi Gani?
Chakula Kujenga Mwili

Je,Usingizi Ni Muhimu Kiasi Gani Kwa Afya na Tunahitaji Kwa Kiasi Gani?

Aina Za Vyakula Vinavyo Ongeza Uzito Haraka
Chakula Kujenga Mwili kupungua uzito

Aina Za Vyakula Vinavyo Ongeza Uzito Haraka

Je, Ni Nini Husababisha Uzito Kubadilika Mara Kwa Mara?
Chakula Kujenga Mwili Kujikinga kupungua uzito

Je, Ni Nini Husababisha Uzito Kubadilika Mara Kwa Mara?

Jinsi Ya Kufanya Zoezi La (Wheel pose) Na Umuhimu Wake.
Kujenga Mwili kupungua uzito

Jinsi Ya Kufanya Zoezi La (Wheel pose) Na Umuhimu Wake.

Makosa 8 yanayo fanywa zaidi na mtu anae anza mazoezi ya GYM
Kujenga Mwili kupungua uzito

Makosa 8 yanayo fanywa zaidi na mtu anae anza mazoezi ya GYM

Je? Gramu ngapi za Mafuta – Unapaswa Kula Kwa Siku?
Chakula

Je? Gramu ngapi za Mafuta – Unapaswa Kula Kwa Siku?

Fahamu mbinu za kukwepa vibaka
Kujikinga Uncategorized

Fahamu mbinu za kukwepa vibaka

Je! Unapaswa Kula Kalori Ngapi Kwa Siku Ili Kupunguza Uzito?
Uncategorized

Je! Unapaswa Kula Kalori Ngapi Kwa Siku Ili Kupunguza Uzito?

Jinsi Ya Kufanya Mazoezi Ya Body Balance
Uncategorized

Jinsi Ya Kufanya Mazoezi Ya Body Balance

Aina (4) Za Mazoezi Ya Kuzuia Maumivu Ya Hedhi
Uncategorized

Aina (4) Za Mazoezi Ya Kuzuia Maumivu Ya Hedhi

Jinsi Ya Kufanya Zoezi La Squat
Uncategorized

Jinsi Ya Kufanya Zoezi La Squat

Jinsi Ya Kutumia Tairi Katika Kujenga Mwili Wako
Kujenga Mwili

Jinsi Ya Kutumia Tairi Katika Kujenga Mwili Wako

Vyakula Bora Kwa Kutibu Shinikizo La Damu 
kupungua uzito

Vyakula Bora Kwa Kutibu Shinikizo La Damu 

Aina za Push-Ups—na Jinsi Zinavyokusaidia
BMI Chakula Kujenga Mwili Kujikinga kupungua uzito

Aina za Push-Ups—na Jinsi Zinavyokusaidia

Aina za Push-Ups—na Jinsi Zinavyokusaidia. Pushup ni mojawapo ya mazoezi makubwa zaidi ya hali ya jumla kwa mwanariadha, na unaweza...
Read More
Kwanini Usimnyamazishe Mtu Akilia, Na Nini Faida Ya Kulia?
Uncategorized

Kwanini Usimnyamazishe Mtu Akilia, Na Nini Faida Ya Kulia?

Kwanini Usimnyamazishe Mtu Akilia, Na Nini Faida Ya Kulia? Kulia ni hisia za kuelezea vile mtu anavyojisikia. Ni hisia ambazo...
Read More
Lishe Bora Na Diet Ni nini?
BMI Chakula Kujenga Mwili Kujikinga kupungua uzito

Lishe Bora Na Diet Ni nini?

Lishe bora ni nini? Lishe bora ni mjumuisho wa vyakula vya aina tofauti tofauti ambavyo huupa mwili wako virutubishi vinavyohitajika...
Read More
Aina za Protini za poda za Kujenga Misuli
BMI Chakula Kujenga Mwili Kujikinga kupungua uzito

Aina za Protini za poda za Kujenga Misuli

Aina za Protini za poda za Kujenga Misuli Poda za protini zimekuwa na manufaa makubwa sana hasa kwa wanariadha ,washindani...
Read More
Kalori Tupu
kupungua uzito

Kalori Tupu

Kalori Tupu ni nini? Kalori tupu ni zile zinazotoa nishati lakini thamani yake ya lishe au virutubishi ni vya kiwango...
Read More
Athari za matumizi ya pombe kiafya
BMI Chakula Kujenga Mwili Kujikinga kupungua uzito

Athari za matumizi ya pombe kiafya

Athari za matumizi ya pombe kiafya. Madhara ya pombe hutofautiana kati ya mtu na mtu. Ingawa watu wengine wanaweza kupunguza...
Read More
Kwa nini Wanaume  Hupunguza Uzito haraka?
kupungua uzito Mazoezi

Kwa nini Wanaume  Hupunguza Uzito haraka?

Kwa nini Wanaume  Hupunguza Uzito haraka sana? Ingawa inaonekana kwamba wanaume huwa na kupoteza uzito haraka zaidi kuliko wanawake, hii...
Read More
Je,Usingizi Ni Muhimu Kiasi Gani Kwa Afya na Tunahitaji Kwa Kiasi Gani?
Chakula Kujenga Mwili

Je,Usingizi Ni Muhimu Kiasi Gani Kwa Afya na Tunahitaji Kwa Kiasi Gani?

Je,Usingizi Unaumuhimu gani Kwa Afya na Tunahitaji Kwa Kiasi gani? Utafiti wa kisayansi unaonyesha wazi kwamba usingizi ni muhimu katika...
Read More
Aina Za Vyakula Vinavyo Ongeza Uzito Haraka
Chakula Kujenga Mwili kupungua uzito

Aina Za Vyakula Vinavyo Ongeza Uzito Haraka

Aina Za Vyakula Vinavyo Ongeza Uzito Haraka Baadhi ya watu wengi hupata ugumu sana kuongeza uzito, sawa na wale wanao...
Read More
Je, Ni Nini Husababisha Uzito Kubadilika Mara Kwa Mara?
Chakula Kujenga Mwili Kujikinga kupungua uzito

Je, Ni Nini Husababisha Uzito Kubadilika Mara Kwa Mara?

Je, Ni vitu gani vinasababisha uzito kubadilika mara kwa mara? Ni kitu cha kushangaza lakini ndo ukweli, mara nyingi kama...
Read More
Jinsi Ya Kufanya Zoezi La (Wheel pose) Na Umuhimu Wake.
Kujenga Mwili kupungua uzito

Jinsi Ya Kufanya Zoezi La (Wheel pose) Na Umuhimu Wake.

Jinsi ya kufanya zoezi la Wheel pose katika yoga  Je, Wheel poseni nini?  Wheel Pose ni mkao wa yoga ambaya...
Read More
Makosa 8 yanayo fanywa zaidi na mtu anae anza mazoezi ya GYM
Kujenga Mwili kupungua uzito

Makosa 8 yanayo fanywa zaidi na mtu anae anza mazoezi ya GYM

Makosa 8 yanayo fanywa zaidi na mtu anae anza mazoezi ya GYM Unapo anza safari yako ya kujenga misuli kwa...
Read More
Je? Gramu ngapi za Mafuta – Unapaswa Kula Kwa Siku?
Chakula

Je? Gramu ngapi za Mafuta – Unapaswa Kula Kwa Siku?

Je? Gramu ngapi za Mafuta - Unapaswa Kula Kwa Siku? Mafuta ni sehemu muhimu ya mlo wako, lakini kufikiri ni...
Read More
Fahamu mbinu za kukwepa vibaka
Kujikinga Uncategorized

Fahamu mbinu za kukwepa vibaka

Ukiwa kama mtembezi wa usiku unakua unajihatarisha kukutana na vibaka (siyo majambazi) lakini kuishi kwangu maeneo mbali mbali sijawahi kukabwa...
Read More
Je! Unapaswa Kula Kalori Ngapi Kwa Siku Ili Kupunguza Uzito?
Uncategorized

Je! Unapaswa Kula Kalori Ngapi Kwa Siku Ili Kupunguza Uzito?

https://youtu.be/RcxdLwC-reg Kalori ni nini?  Kwa ufupi, kalori ni kitengo kinachopima nishati. Kalori hutumiwa kupima maudhui ya nishati ya vyakula na...
Read More
Jinsi Ya Kufanya Mazoezi Ya Body Balance
Uncategorized

Jinsi Ya Kufanya Mazoezi Ya Body Balance

https://www.youtube.com/watch?v=iE8k-i0X9Xk&t=1s Jinsi Ya Kufanya Mazoezi Ya Body Balance Mazoezi ya Body balance yanasaidia sana katika msawaziko wa mwili na katika...
Read More
Aina (4) Za Mazoezi Ya Kuzuia Maumivu Ya Hedhi
Uncategorized

Aina (4) Za Mazoezi Ya Kuzuia Maumivu Ya Hedhi

https://www.youtube.com/watch?v=qQiuay9fzAQ&t=1s Aina (4) Za Mazoezi Ya Kuzuia Maumivu Ya Hedhi Maumivu ya hedhi ni tatizo kubwa kwa wanawake wengi, hivyo...
Read More
Jinsi Ya Kufanya Zoezi La Squat
Uncategorized

Jinsi Ya Kufanya Zoezi La Squat

https://www.youtube.com/watch?v=66VqjncGw0o Jinsi Ya Kufanya Zoezi La Squat Japo kuwa Squat ni zoezi zuri sana, lakini ukilikosea linaweza kukupa madhara badala...
Read More
Jinsi Ya Kutumia Tairi Katika Kujenga Mwili Wako
Kujenga Mwili

Jinsi Ya Kutumia Tairi Katika Kujenga Mwili Wako

https://www.youtube.com/watch?v=BoHY7B4M_EE Jinsi Ya Kutumia Tairi Katika Kujenga Mwili Wako Tairi ni moja ya nyenzo muhimu sana itakayo kusaidia katika mazoezi...
Read More
Vyakula Bora Kwa Kutibu Shinikizo La Damu 
kupungua uzito

Vyakula Bora Kwa Kutibu Shinikizo La Damu 

https://www.youtube.com/watch?v=QDu-HMqozgA&t=1s Kubadilisha lishe kunaweza kupunguza kwa kiasi kikubwa shinikizo la damu. Utafiti umeonyesha kuwa vyakula fulani vinaweza kupunguza shinikizo la...
Read More
Load More