Kinywaji Cha Kupunguza Uzito Haraka
Kuna aina ya vinyaji ambavyo ukinywa vinaweza kukusaidia kupunguza uzito

Mahitaji ya kuandaa kinywaji hiki
–Karafuu. Weka vijiko viwili au vitatu kutokana ujazo wa kinywaji unacho kihitaji
-Mdarasini. Mdarasini unao hitajika uwe ule ambao sio wa kusagwa uwe ule wa magome
Huu unasaidia sana katika kufanikisha mmeng’ényo wa chakula
–Tangawizi. Tangawizi husaidia mwili kunyonya virutubisho kwenye chakula hii husaidiana sana pale unapoamua kupunguza uzito wa mwili pia Tangawizi husaidia katika kuweka sawa kiwango cha sukari kwenye damu. Wagonjwa wa Kisukari wanashauriwa kutumia Tangawizi badala ya chai.
Hatua za kufata
1.Saga Tangawizi yako Kwenye blenda au kinu
2.Changanya pamoja mchanganyiko huo pamoja
3.Chemsha mchanganyiko huo hadi uhakikishe umekolea vizuri
4.Chuja vizuri mchanganyiko huo
Hapo sasa unakua tayari kwaajili ya matumizi
Asante endelea kufuatilia kurasa zetu na subscribe Channel Yetu Ya Youtube tiztu kwa habari na video zote zinazohusu Afya ,chakula na mazoezi.
