Watu Wengi Wanasumbuliwa na Gesi Tumboni Lakini wasijue Njia Sahihihi ya kuweza kuondoa gesi hiyo tumboni. Nawengi hujua ni shida ya kula aina fulani ya chakula, hivyo kuanza kutumia aina fulani ya dawa ili kuzuia gesi hiyo. Leo Tunaenda kuangalia aina ya mazoezi ambayo mtu unaweza kuyafanya ili kupunguza Gesi Tumboni
1.Kujishika mkono mmoja kwenya paji la uso na mwingine vidole vitatu mguuni
Kaa hivyo ndani ya dakika thelathini halafu badili mkono mwingine
2.Kunyanyua kiuno Juu na kurudisha miguu yako nyuma
Hakikisha Mgongo wako usipinde alafu itanue miguu yako na kuirudisha, Zoezi Hili halisaidii kupunguza gesi pekee yake bali linasaidia katika mazoezi mengine kama vile kunyoosha misuli ya kiunona mgongo, pia husaidia mzunguko wa damu katika mwili wako.
3.Kulala na kukunja miguu(Chirld pourse)
Unapo kua unajihisi tumbo lako limejaa gesi unaweza hata ukiwa umelala kitandani ukawa umekunja miguu yako, hilo nalo ni zoezi mojawapo tosha la kupunguza maumivu ya tumbo.
4.kulala huku umeshikilia vidole vya miguu yako ya miguuni na kunyoosha miguu yako
kulala huku umeshikilia vidole vya miguu yako ya miguuni na kunyoosha miguu yako Zoezi hili litakusaidia kwenye tumbo, Nyoga na kuondoa gesi ni zoezi zuri na ni rahisi.
5.Zoezi La kukalia miguu kwa nyuma na kuegemea mikono yako kwa nyuma
6.Zoezi la kutanua miguu na kunyoosha mikono yako na kichwa ukikigusa kwa chini
8.Zoezila kutanua miguu na kukunja mikono yako na kuegemea viwiko vya mikono yako
9.Zoezi la na kunyoosha mikono yako na miguu yako huku ukijipindisha kusho na kulia
zoezi la aina hii unaweza kufanya hata kitandani au chini
10.zoezi la kukunja miguu yako na kukalia mguu mmoja
Asante endelea kufuatilia kurasa zetu na subscribe Channel Yetu Ya Youtube tiztu kwa habari na video zote zinazohusu Afya ,chakula na mazoezi.
https://youtu.be/RcxdLwC-reg Kalori ni nini? Kwa ufupi, kalori ni kitengo kinachopima nishati. Kalori hutumiwa kupima maudhui ya nishati ya vyakula na...
https://www.youtube.com/watch?v=iE8k-i0X9Xk&t=1s Jinsi Ya Kufanya Mazoezi Ya Body Balance Mazoezi ya Body balance yanasaidia sana katika msawaziko wa mwili na katika...
https://www.youtube.com/watch?v=qQiuay9fzAQ&t=1s Aina (4) Za Mazoezi Ya Kuzuia Maumivu Ya Hedhi Maumivu ya hedhi ni tatizo kubwa kwa wanawake wengi, hivyo...
https://www.youtube.com/watch?v=66VqjncGw0o Jinsi Ya Kufanya Zoezi La Squat Japo kuwa Squat ni zoezi zuri sana, lakini ukilikosea linaweza kukupa madhara badala...
https://www.youtube.com/watch?v=BoHY7B4M_EE Jinsi Ya Kutumia Tairi Katika Kujenga Mwili Wako Tairi ni moja ya nyenzo muhimu sana itakayo kusaidia katika mazoezi...
https://www.youtube.com/watch?v=QDu-HMqozgA&t=1s Kubadilisha lishe kunaweza kupunguza kwa kiasi kikubwa shinikizo la damu. Utafiti umeonyesha kuwa vyakula fulani vinaweza kupunguza shinikizo la...