Aina Ya Mazoezi Ya Kuongeza Hipsi na kalio
Muonekano kwa wanawake hasa hipsi ni tatizo kubwa sana ambalo wanawake wengi
hupata shida ya kua na hipsi.Kwani hipsi ndizo zinaongeza mvuto kwa wanawake
hivyo kusababisha baadhi yao kutumia dawa au sindano kuongeza hipsi.
Lakini Yapo mazoezi ya aina nyingi yanaweza kukusaidia kuongeza hipsi bila hata
ya kuchoma sindano au kutumia dawa Tazama video uweze kujifunza zaidi
2.Zoezi la kunyanyua mguu mmoja na kuurudisha nyuma
3.Zoezi la teke la punda
Hili ni zoezi ambalo unapiga magoti na kushika mikono yako chini na kurusha mguu wako
nyuma na kupelea mbele.
4.Zoezi la kunyanyua mguu wako mmoja nyuma na kuupeleka upande mmoja na upande mwingine
5.Zoezi la kuegemea mkono na kupanua mguu wako juu na kuushusha chini
Fanya ivo kwa pande zote wa kushoto na kulia
6.Zoezi la kubinua kiuno chako kwa juu huku umelala chali
7.Zoezi la kulala chini na kuinua mguu wako juu na kuushusha chini
Asante endelea kufuatilia kurasa zetu na subscribe Channel Yetu Ya Youtube tiztu kwa habari na video zote zinazohusu Afya ,chakula na mazoezi.
