unapo fanya jump squat hakikisha mgongo wako umenyooka kabisa, pia unaweza ukafanya squat ya kawaida kama unaona zoezi la jump squat linakushinda. Mazoezi haya yatasaidia sana kwenye kukaza pelvic floor kwa mwanaume vilevile kukuongezea nguvu katika mapaja yako. fanya zoezi hili kwa muda wa dakika kumi au zaidi
2.lunge
Katika zoezi hili unabana mikono yako huku ukigusisha goti lako chini na kusimama tena juu utafanya hivi marakumi kwa seti tatu
3.Jump rope
Zoezi hili linaendana awa nlunge lakini katika zoezi hili unanyoosha mikono yako juu huku ukigusisha goti lako chin na kusimama juu kwa uharaka zaidi
4.Wall sit
Katika zoezi tafuta sehemu ambayo imenyooka inaweza ikawa ni ukuta na unaegemea ukuta wako huku ukikunja mapaja yako na uwe kama umekaa bila ya kua na kizuzi cha aina yeyote hesabu kwa sekunde 30 alafu unasubiri kidogo,H ii itakusaidia kujenga misuli imara kwenye mapaja yako vilevile kwenye misuli ya pelvic
5.Hindu Push up
Katika zoezi hili unakua kama unapiga pushup lakini unapokua unashuka chini uwe unakaa staili ya kobla kwahiyo unaweza uwa unaenda mara kumi au zaidi kwa kuanzia
6.Flog
Katika zoezi hili bana miguu yako kwa nyuma huku ukiwa umepiga magoti na kurudisha kiuno chako kwa nyuma na kupeleka mikono yako mbele , zoezi hili ni muhimu sana kwani linakusaidia wewe kuweza kuhili wakati wa tendo la ndoa. Fanya zoezi hili ndani ya dakika tatu au zaidi hadi pale unapo hisi misuli yako inakaza
7.Bridge
Katika zoezi hili unalala chali huku ukiinyoosha mikono yako chini na kuinua kiuno chako chini na kukipandisha juu. Fanya zoezi hili ndani ya dakika mbili au zaidi
8.Bridge ya kurotate
Katika zoezi hili unalala chali huku uiinyoosha mikono yako chini na kuinua kiuno chako chini na kukipandisha juu na kukizungusha kiuno chako Fanya zoezi hili ndani ya dakika tano au zaidi.
https://youtu.be/RcxdLwC-reg Kalori ni nini? Kwa ufupi, kalori ni kitengo kinachopima nishati. Kalori hutumiwa kupima maudhui ya nishati ya vyakula na...
https://www.youtube.com/watch?v=iE8k-i0X9Xk&t=1s Jinsi Ya Kufanya Mazoezi Ya Body Balance Mazoezi ya Body balance yanasaidia sana katika msawaziko wa mwili na katika...
https://www.youtube.com/watch?v=qQiuay9fzAQ&t=1s Aina (4) Za Mazoezi Ya Kuzuia Maumivu Ya Hedhi Maumivu ya hedhi ni tatizo kubwa kwa wanawake wengi, hivyo...
https://www.youtube.com/watch?v=66VqjncGw0o Jinsi Ya Kufanya Zoezi La Squat Japo kuwa Squat ni zoezi zuri sana, lakini ukilikosea linaweza kukupa madhara badala...
https://www.youtube.com/watch?v=BoHY7B4M_EE Jinsi Ya Kutumia Tairi Katika Kujenga Mwili Wako Tairi ni moja ya nyenzo muhimu sana itakayo kusaidia katika mazoezi...
https://www.youtube.com/watch?v=QDu-HMqozgA&t=1s Kubadilisha lishe kunaweza kupunguza kwa kiasi kikubwa shinikizo la damu. Utafiti umeonyesha kuwa vyakula fulani vinaweza kupunguza shinikizo la...