Aina Za Mazoezi Ya Kuondoa Kibiongo

Mazoezi Yanayo Saidia Kuondoa Kibiongo

Mara nyingi kibiongo kinaathiri katika uti wa mgongo na hiki kinasababishwa na vitu, kama vile kutumia simu Kukaa chinini mda mrefu huku umeinama, matatizo ya mifupa au urithi( vinasaba) n.k
Yafuatayo ni baadhi ya mazoezi yanayo weza kukusaidia kutopata kibiongo au kuondoa kibiongo kama unacho.

Kunja mikono yako na uitanue kwa kuelekezea mbele na nyuma

katika zoezi hili hakikisha mikono imekaa nyuzi 90 mabega yako unayakunja vizuri kiasi cha kuyakutanisha kiuelekeo wa nyuma. Hii itasaidia misuli yako na mfupa upande wa mgongo kulegea na kua imara hivyo
kutoruhusu kibiongo

Kumbuka kibiongo hutokea pale mtu anapo elekezea misuli au mwili wake katika
uelekeo wa aina moja kwa muda mrefu hadi misuli na mifupa ikakomaa kwa kwa kufatisha uelekeo huo kama vile kuinama mda mrefu, kusoma, kutumia simu, kulima na shughuli nyingine yeyote.
Zoezi hili ni rahisi kwani una weza kufanya kwa mda mfupi fanya zoezi hili ndani ya sekunde ishirini au zaidi

2. Zoezi la kubebanisha mikono yako juu na mwingine chini huku ukiinama kushoto na kulia

Hakikisha kua wakati unainama kushoto na kulia sehemu yako ya juu ya mwili kutoka kwenye kiuno ndio inayo takiwa kucheza sehemu ya chini ya kiuno inatkaiwa uwe imetulia, fanya hivo kwa mikono yote.

3. Zoezi la kuinama huku umetanua miguu yako na kuinyoosha mikono yako
uelekeo wa juu

4.Kubinua kiuno huku ukikipandisha juu na chini(cat, cow)

Katika zoezi hili piga magoti huku ukiinua kinua kiuno chako juu na kukishusha chini, zoezi hili linasaidia pia katika kuondoa kitambi na maumivu ya mgongo, kiuno na mabega. Unapo nyanyua mgongo wako kwa juu hakikisha unavuta kiasi cha kuhisi maumivu kwenye tumbo lako, fanya zoezi hili ndani ya sekunde ishirini au zaidi kutokana na uhitaji wako.

5.Zoezi la kuinua mguu mmoja na mkono mmoja(dragon)

zoezi hili ni zuri kwenye kuondoa kibiongo hata kurekebisha kifua hipsi pamoja na kurekebisha makalio yako.

6.Zoezi la kulala chali huku ukiwa kama unaogelea(superman)

katika zoezi hili,Lala nyoosha mikono na miguu yako wima,nyanyua mikono yako na miguu yako juu na kushusha chini hapo utalalia tumbo pekee. Zoezi hili linasaidia misuli ya kifua,mabega tumbo pia mgongo
hivyo kupunguza uwezekano wa kupata kibiongo.

7.Zoezi la kulala huku ukisimamisha mikono yako(cobra pose)

katika zoezi hili utapindisha kifua chako na kukaa muundoa wa nyoka aliye simamisha kichwa chake
kaa hivo ndani ya sekunde thelathini kisha shusha chini mikono yako rudia kufanya hivo mara 3.

8.Zoezi la kupitisha mkono wako kwa nyuma ya mgongo huku ukiikutakutanisha mikono yako

9.Zoezi la kuinuka huku ukiinua kiuno chako kwa juu

zoezi hili linaumuhimu mkubwa sana katika kuimalisha mapaja miguu kiuno na makalio

10.Zoezi la kunyoosha mikono yako huku umelala na kuchezesha upande wa chini
wa mwili wako upande wa kusho na kulia.

11.zoezi la kubinua mgongo kwa juu

12.Zoezi la kulala huku ukipindisha miguu yako kwa nyuma

13.Zoezi la kukunja miguu na kuegemea mkono mmoja huku mwingine
ukishika goti lako.

14.Zoezi ya kuzungusha mabega yako(plunking)

15.zoezi la kulalia kiwiko cha mkono wako

Katika mazoezi haya chagua yale utakayoweza kuyafanya kirahisi.

Asante endelea kufuatilia kurasa zetu na subscribe Channel Yetu Ya Youtube tiztu kwa habari na video zote zinazohusu Afya ,chakula na mazoezi.

Jiunge Na Programu za mazoezi na chakula hapa

Aina za Push-Ups—na Jinsi Zinavyokusaidia
BMI Chakula Kujenga Mwili Kujikinga kupungua uzito

Aina za Push-Ups—na Jinsi Zinavyokusaidia

Kwanini Usimnyamazishe Mtu Akilia, Na Nini Faida Ya Kulia?
Uncategorized

Kwanini Usimnyamazishe Mtu Akilia, Na Nini Faida Ya Kulia?

Lishe Bora Na Diet Ni nini?
BMI Chakula Kujenga Mwili Kujikinga kupungua uzito

Lishe Bora Na Diet Ni nini?

Aina za Protini za poda za Kujenga Misuli
BMI Chakula Kujenga Mwili Kujikinga kupungua uzito

Aina za Protini za poda za Kujenga Misuli

Kalori Tupu
kupungua uzito

Kalori Tupu

Athari za matumizi ya pombe kiafya
BMI Chakula Kujenga Mwili Kujikinga kupungua uzito

Athari za matumizi ya pombe kiafya

Kwa nini Wanaume  Hupunguza Uzito haraka?
kupungua uzito Mazoezi

Kwa nini Wanaume  Hupunguza Uzito haraka?

Je,Usingizi Ni Muhimu Kiasi Gani Kwa Afya na Tunahitaji Kwa Kiasi Gani?
Chakula Kujenga Mwili

Je,Usingizi Ni Muhimu Kiasi Gani Kwa Afya na Tunahitaji Kwa Kiasi Gani?

Aina Za Vyakula Vinavyo Ongeza Uzito Haraka
Chakula Kujenga Mwili kupungua uzito

Aina Za Vyakula Vinavyo Ongeza Uzito Haraka

Je, Ni Nini Husababisha Uzito Kubadilika Mara Kwa Mara?
Chakula Kujenga Mwili Kujikinga kupungua uzito

Je, Ni Nini Husababisha Uzito Kubadilika Mara Kwa Mara?

Jinsi Ya Kufanya Zoezi La (Wheel pose) Na Umuhimu Wake.
Kujenga Mwili kupungua uzito

Jinsi Ya Kufanya Zoezi La (Wheel pose) Na Umuhimu Wake.

Makosa 8 yanayo fanywa zaidi na mtu anae anza mazoezi ya GYM
Kujenga Mwili kupungua uzito

Makosa 8 yanayo fanywa zaidi na mtu anae anza mazoezi ya GYM

Je? Gramu ngapi za Mafuta – Unapaswa Kula Kwa Siku?
Chakula

Je? Gramu ngapi za Mafuta – Unapaswa Kula Kwa Siku?

Fahamu mbinu za kukwepa vibaka
Kujikinga Uncategorized

Fahamu mbinu za kukwepa vibaka

Je! Unapaswa Kula Kalori Ngapi Kwa Siku Ili Kupunguza Uzito?
Uncategorized

Je! Unapaswa Kula Kalori Ngapi Kwa Siku Ili Kupunguza Uzito?

Jinsi Ya Kufanya Mazoezi Ya Body Balance
Uncategorized

Jinsi Ya Kufanya Mazoezi Ya Body Balance

Aina (4) Za Mazoezi Ya Kuzuia Maumivu Ya Hedhi
Uncategorized

Aina (4) Za Mazoezi Ya Kuzuia Maumivu Ya Hedhi

Jinsi Ya Kufanya Zoezi La Squat
Uncategorized

Jinsi Ya Kufanya Zoezi La Squat

Jinsi Ya Kutumia Tairi Katika Kujenga Mwili Wako
Kujenga Mwili

Jinsi Ya Kutumia Tairi Katika Kujenga Mwili Wako

Vyakula Bora Kwa Kutibu Shinikizo La Damu 
kupungua uzito

Vyakula Bora Kwa Kutibu Shinikizo La Damu 

Aina za Push-Ups—na Jinsi Zinavyokusaidia
BMI Chakula Kujenga Mwili Kujikinga kupungua uzito

Aina za Push-Ups—na Jinsi Zinavyokusaidia

Aina za Push-Ups—na Jinsi Zinavyokusaidia. Pushup ni mojawapo ya mazoezi makubwa zaidi ya hali ya jumla kwa mwanariadha, na unaweza...
Read More
Kwanini Usimnyamazishe Mtu Akilia, Na Nini Faida Ya Kulia?
Uncategorized

Kwanini Usimnyamazishe Mtu Akilia, Na Nini Faida Ya Kulia?

Kwanini Usimnyamazishe Mtu Akilia, Na Nini Faida Ya Kulia? Kulia ni hisia za kuelezea vile mtu anavyojisikia. Ni hisia ambazo...
Read More
Lishe Bora Na Diet Ni nini?
BMI Chakula Kujenga Mwili Kujikinga kupungua uzito

Lishe Bora Na Diet Ni nini?

Lishe bora ni nini? Lishe bora ni mjumuisho wa vyakula vya aina tofauti tofauti ambavyo huupa mwili wako virutubishi vinavyohitajika...
Read More
Aina za Protini za poda za Kujenga Misuli
BMI Chakula Kujenga Mwili Kujikinga kupungua uzito

Aina za Protini za poda za Kujenga Misuli

Aina za Protini za poda za Kujenga Misuli Poda za protini zimekuwa na manufaa makubwa sana hasa kwa wanariadha ,washindani...
Read More
Kalori Tupu
kupungua uzito

Kalori Tupu

Kalori Tupu ni nini? Kalori tupu ni zile zinazotoa nishati lakini thamani yake ya lishe au virutubishi ni vya kiwango...
Read More
Athari za matumizi ya pombe kiafya
BMI Chakula Kujenga Mwili Kujikinga kupungua uzito

Athari za matumizi ya pombe kiafya

Athari za matumizi ya pombe kiafya. Madhara ya pombe hutofautiana kati ya mtu na mtu. Ingawa watu wengine wanaweza kupunguza...
Read More
Kwa nini Wanaume  Hupunguza Uzito haraka?
kupungua uzito Mazoezi

Kwa nini Wanaume  Hupunguza Uzito haraka?

Kwa nini Wanaume  Hupunguza Uzito haraka sana? Ingawa inaonekana kwamba wanaume huwa na kupoteza uzito haraka zaidi kuliko wanawake, hii...
Read More
Je,Usingizi Ni Muhimu Kiasi Gani Kwa Afya na Tunahitaji Kwa Kiasi Gani?
Chakula Kujenga Mwili

Je,Usingizi Ni Muhimu Kiasi Gani Kwa Afya na Tunahitaji Kwa Kiasi Gani?

Je,Usingizi Unaumuhimu gani Kwa Afya na Tunahitaji Kwa Kiasi gani? Utafiti wa kisayansi unaonyesha wazi kwamba usingizi ni muhimu katika...
Read More
Aina Za Vyakula Vinavyo Ongeza Uzito Haraka
Chakula Kujenga Mwili kupungua uzito

Aina Za Vyakula Vinavyo Ongeza Uzito Haraka

Aina Za Vyakula Vinavyo Ongeza Uzito Haraka Baadhi ya watu wengi hupata ugumu sana kuongeza uzito, sawa na wale wanao...
Read More
Je, Ni Nini Husababisha Uzito Kubadilika Mara Kwa Mara?
Chakula Kujenga Mwili Kujikinga kupungua uzito

Je, Ni Nini Husababisha Uzito Kubadilika Mara Kwa Mara?

Je, Ni vitu gani vinasababisha uzito kubadilika mara kwa mara? Ni kitu cha kushangaza lakini ndo ukweli, mara nyingi kama...
Read More
Jinsi Ya Kufanya Zoezi La (Wheel pose) Na Umuhimu Wake.
Kujenga Mwili kupungua uzito

Jinsi Ya Kufanya Zoezi La (Wheel pose) Na Umuhimu Wake.

Jinsi ya kufanya zoezi la Wheel pose katika yoga  Je, Wheel poseni nini?  Wheel Pose ni mkao wa yoga ambaya...
Read More
Makosa 8 yanayo fanywa zaidi na mtu anae anza mazoezi ya GYM
Kujenga Mwili kupungua uzito

Makosa 8 yanayo fanywa zaidi na mtu anae anza mazoezi ya GYM

Makosa 8 yanayo fanywa zaidi na mtu anae anza mazoezi ya GYM Unapo anza safari yako ya kujenga misuli kwa...
Read More
Je? Gramu ngapi za Mafuta – Unapaswa Kula Kwa Siku?
Chakula

Je? Gramu ngapi za Mafuta – Unapaswa Kula Kwa Siku?

Je? Gramu ngapi za Mafuta - Unapaswa Kula Kwa Siku? Mafuta ni sehemu muhimu ya mlo wako, lakini kufikiri ni...
Read More
Fahamu mbinu za kukwepa vibaka
Kujikinga Uncategorized

Fahamu mbinu za kukwepa vibaka

Ukiwa kama mtembezi wa usiku unakua unajihatarisha kukutana na vibaka (siyo majambazi) lakini kuishi kwangu maeneo mbali mbali sijawahi kukabwa...
Read More
Je! Unapaswa Kula Kalori Ngapi Kwa Siku Ili Kupunguza Uzito?
Uncategorized

Je! Unapaswa Kula Kalori Ngapi Kwa Siku Ili Kupunguza Uzito?

https://youtu.be/RcxdLwC-reg Kalori ni nini?  Kwa ufupi, kalori ni kitengo kinachopima nishati. Kalori hutumiwa kupima maudhui ya nishati ya vyakula na...
Read More
Jinsi Ya Kufanya Mazoezi Ya Body Balance
Uncategorized

Jinsi Ya Kufanya Mazoezi Ya Body Balance

https://www.youtube.com/watch?v=iE8k-i0X9Xk&t=1s Jinsi Ya Kufanya Mazoezi Ya Body Balance Mazoezi ya Body balance yanasaidia sana katika msawaziko wa mwili na katika...
Read More
Aina (4) Za Mazoezi Ya Kuzuia Maumivu Ya Hedhi
Uncategorized

Aina (4) Za Mazoezi Ya Kuzuia Maumivu Ya Hedhi

https://www.youtube.com/watch?v=qQiuay9fzAQ&t=1s Aina (4) Za Mazoezi Ya Kuzuia Maumivu Ya Hedhi Maumivu ya hedhi ni tatizo kubwa kwa wanawake wengi, hivyo...
Read More
Jinsi Ya Kufanya Zoezi La Squat
Uncategorized

Jinsi Ya Kufanya Zoezi La Squat

https://www.youtube.com/watch?v=66VqjncGw0o Jinsi Ya Kufanya Zoezi La Squat Japo kuwa Squat ni zoezi zuri sana, lakini ukilikosea linaweza kukupa madhara badala...
Read More
Jinsi Ya Kutumia Tairi Katika Kujenga Mwili Wako
Kujenga Mwili

Jinsi Ya Kutumia Tairi Katika Kujenga Mwili Wako

https://www.youtube.com/watch?v=BoHY7B4M_EE Jinsi Ya Kutumia Tairi Katika Kujenga Mwili Wako Tairi ni moja ya nyenzo muhimu sana itakayo kusaidia katika mazoezi...
Read More
Vyakula Bora Kwa Kutibu Shinikizo La Damu 
kupungua uzito

Vyakula Bora Kwa Kutibu Shinikizo La Damu 

https://www.youtube.com/watch?v=QDu-HMqozgA&t=1s Kubadilisha lishe kunaweza kupunguza kwa kiasi kikubwa shinikizo la damu. Utafiti umeonyesha kuwa vyakula fulani vinaweza kupunguza shinikizo la...
Read More
Load More