Kuna shida nyingi zinazo wakumba watu hasa pale mtu anapo anajaribu kufanya diet anakua anashida ya kusikia njaa na kutokushiba pale anapokua anafanya diet yake. Katika Swala la kupungua asilimia zaidi ya sabini 70% ni chakula haijalishi ni kiasi gani unafanya mazoezi. Chakula ndicho kinaweza kukusaidia wewe kupungua au uongezeke, watu waanajaribu kufanya diet kitu hiki ndicho kinachokua kinawasumbua sana. Zifuatazo ni njia zinazo weza kukusaidia wewe kula chakula lakini usiongezeke uzito wako.
1.Kula Matunda Juice,Maji ya kutosha kabla ya kuanza kula chakula chako
Unawezaa tembelea youtube kujua namna sahii ya kuandaa matunda na yanamna gani ya kuandaa chakula na jinsi ya kuanza kukila angalia hapa Ukianza kula vyakula vya aina hii ,itakusaidia wewe kula vyakula vya aina ya carbon kwa kiwango kidogo kwasababu asilimi kubwa ya tumbo lako litakua limejazwa na matunda pamoja na maji. Matunda haya unaweza kula wakati wa kabla ya kuanza kula chakula au wakati unapo kua unajisikia njaa. Zingatia unapo kua unakula aina hii ya matunda iwe ambayo haikuongezei wewe uzito.
3.Kula kidogokidogo
Hapa unagawa kiasi cha chakula unacho takiwa kula kwa siku kwa kula kiasi kidogo kidogo, Mfano umezoea kula mara tatu kwa siku unaweza kugawa chakula hicho ukala mara tano au zaidi, Kwa hiyo usikae mda mrefu ukaja ukapata njaa kubwa ukala zaidi, unavyo kula kidogokidogo inakusaidia mfumo wa mmeng’ényo kwenda vizuri.
4.Kula vyakula vyenye maji kwa wingi
kama vile matikiti maji, Supu,Mitori Hii itakufanya Tumbo lako lijae Kwahiyo pale unapokua unajisikia njaa tumbo lako linakua halina kitu.
5.Kuongeza Mboga za Majani zenye fiba kwa wingi kama vile kabichi sukuma wiki kwenye chakula chako
Mbogamboga hizi zitakufanya ujaze tumbo lako lakini hazitakufanya unenepe na kutafanya uweze kupunguza uzito bila kupata matatizo ya aina yeyote. Baada ya mda fulani utajikuta mwili wako unaendana na hali hiyo/unazoea.
Asante endelea kufuatilia kurasa zetu na subscribe Channel Yetu Ya Youtube tiztu kwa habari na video zote zinazohusu Afya ,chakula na mazoezi.
https://youtu.be/RcxdLwC-reg Kalori ni nini? Kwa ufupi, kalori ni kitengo kinachopima nishati. Kalori hutumiwa kupima maudhui ya nishati ya vyakula na...
https://www.youtube.com/watch?v=iE8k-i0X9Xk&t=1s Jinsi Ya Kufanya Mazoezi Ya Body Balance Mazoezi ya Body balance yanasaidia sana katika msawaziko wa mwili na katika...
https://www.youtube.com/watch?v=qQiuay9fzAQ&t=1s Aina (4) Za Mazoezi Ya Kuzuia Maumivu Ya Hedhi Maumivu ya hedhi ni tatizo kubwa kwa wanawake wengi, hivyo...
https://www.youtube.com/watch?v=66VqjncGw0o Jinsi Ya Kufanya Zoezi La Squat Japo kuwa Squat ni zoezi zuri sana, lakini ukilikosea linaweza kukupa madhara badala...
https://www.youtube.com/watch?v=BoHY7B4M_EE Jinsi Ya Kutumia Tairi Katika Kujenga Mwili Wako Tairi ni moja ya nyenzo muhimu sana itakayo kusaidia katika mazoezi...
https://www.youtube.com/watch?v=QDu-HMqozgA&t=1s Kubadilisha lishe kunaweza kupunguza kwa kiasi kikubwa shinikizo la damu. Utafiti umeonyesha kuwa vyakula fulani vinaweza kupunguza shinikizo la...