Katika utafiti wa kisayansi ulio fanywa na daktari wa kijapani , unaonesha kua kufanya mazoezi kwa kutumia taulo husaidia katika kutatua matatizo mengi ambayo wangojwa wanakua nayo , Daktari huyu alionesha kuwa unawez kutumia taulo kufanya zoezi kwa dakika tano ndani ya siku na ikawa na matokeo makubwa sana katika kuondosha matatizo ya migongo na misuli.
Vile vile aligundua kwamba mazoezi haya yanasaidia kuweka muonekano mzuri wa umbo lako, Kubana misuli ya tumbo vile vile litakupunguzia uzito Zoezi hili japokua ukilifanya hautoki jasho na ni zoezi la dakika tano tu ila linahusisha mwili wako mzima kuanzia mikono hadi kwenye vidole vya miguu yako
Hatua za kuanza mazoezi haya
Hili ni zoezi ambalo unapiga magoti na kushika mikono yako chini na kurusha mguu wako nyuma na kupelea mbele.
1.Chukua taulo yako likunye kakikisha urefu uwe sm 40 upana sm 7 2.Viringisha tauro yako 3.Weka tauro yako chini, Egesha Mgongo wako juu ya tauro. Nyoosha mikono yako juu kutanisha vidole vyako vya mwisho vya mikono,pia nyoosha miguu yako kutanisha vidole gumba vya miguu yako kaa hivo ndani ya dakika tano
NB
Zoezi hili kama unaanza litakua gumu kwako kwahiyo kama unaanza utaanza kwa dakika mbili, tatu na kuendelea kadri unavyo zoea kaa hivo hadi utakapo ona misuli inavuta baada ya mda inuka taratibu na hapo utakua umeisha maliza zoezi hili
Asante endelea kufuatilia kurasa zetu na subscribe Channel Yetu Ya Youtube tiztu kwa habari na video zote zinazohusu Afya ,chakula na mazoezi.
https://youtu.be/RcxdLwC-reg Kalori ni nini? Kwa ufupi, kalori ni kitengo kinachopima nishati. Kalori hutumiwa kupima maudhui ya nishati ya vyakula na...
https://www.youtube.com/watch?v=iE8k-i0X9Xk&t=1s Jinsi Ya Kufanya Mazoezi Ya Body Balance Mazoezi ya Body balance yanasaidia sana katika msawaziko wa mwili na katika...
https://www.youtube.com/watch?v=qQiuay9fzAQ&t=1s Aina (4) Za Mazoezi Ya Kuzuia Maumivu Ya Hedhi Maumivu ya hedhi ni tatizo kubwa kwa wanawake wengi, hivyo...
https://www.youtube.com/watch?v=66VqjncGw0o Jinsi Ya Kufanya Zoezi La Squat Japo kuwa Squat ni zoezi zuri sana, lakini ukilikosea linaweza kukupa madhara badala...
https://www.youtube.com/watch?v=BoHY7B4M_EE Jinsi Ya Kutumia Tairi Katika Kujenga Mwili Wako Tairi ni moja ya nyenzo muhimu sana itakayo kusaidia katika mazoezi...
https://www.youtube.com/watch?v=QDu-HMqozgA&t=1s Kubadilisha lishe kunaweza kupunguza kwa kiasi kikubwa shinikizo la damu. Utafiti umeonyesha kuwa vyakula fulani vinaweza kupunguza shinikizo la...