Je Unaweza Ukapungua Bila Kufanya Mazoezi Au Kufanya Diet?
Aina ya maisha ya saizi watu wengi hukosa mda wa kufanya mazoezi kwasababu ya kua bize na shughuli zao za kazi hivyo kujikuta wanakosa kabisa mda wa kufanya mazoezi Leo tunaenda kuangalia njia za kupungua uzito bila ya kufanya mazoezi
1.Kusimama
Kusimama ni moja ya zoezi moja kubwa sana linalo weza kukusaidia kuufanya mwili wako uwe katka hali ya mazoezi, Unapo kua umesimama unaruhusu mwili damu katika mwili wako kuzunguka vizuri, kukaa mda mrefu kunasababisha damu yako kukosa kuzunguka kiufasaha hivyo kusababisha hadi miguu yako kuvimba kwahiyo kwa wale watu wanao kosa kabisa mda wa kufanya mazoezi, zoezi hili linaweza kukusaidia sana, kwahiyo unaweza kunasimama ukiwa oficsni kwako wakati unafanya kazi.
2.Kutembea
Chukulia una gari lako na unatumia muda wote kwenda kazini na kurudi hivyo unakosa mda wa kufanya mazoezi hivyo unaweza kunaegesha gari lako umbali wa aina fulani ili na kuanza kutembea mbaka unafika ofisini, au kama upo juu ya ghorofa unaweza ukawa unaunatembea kwenye ghorofa badala ya kupanda lift, Kutembea ni moja ya zoezi zuri sana ambalo linakusaidia wewe kufanya mazoezi bila ya kutoa jasho sana.
3.Kufanya usafi
kama vile kusafisha uwanya nyumba madirisha na shughuli nyingine zote za ndani
4.Kucheza na watoto
6.Kushiriki tendo ndoa
Kufanya tendo la ndoa linasaida kupungua kwasababu, wakati wa kufanya tendo la ndoa kuna nguvu kubwa inayo tumikakatika tendo hil. Mwanaume anapo toa mbegu zake kuna kiwango kikubwa cha nguvu anakua anakipunguza kutoka mwilini mwake, inaonyesha kuwa kiwango cha bao moja atakalo toa mwanamume wakati wa tendo la ndoa ni sawa kiasi cha chakula alicho kula asubuhi mchana na jioni, Kwahiyo kwa mtu mwenye uzito mkubwana anakosa mda wa kufanya mazoezi ili kupunguza uzito wake anaweza kutumia njia hii ya kufanya mapenzi. Zoezi hili ni zuri kwani halina maumivu kama kupiga pushap au kukimbia
Asante endelea kufuatilia kurasa zetu na subscribe Channel Yetu Ya Youtube tiztu kwa habari na video zote zinazohusu Afya ,chakula na mazoezi.
https://youtu.be/RcxdLwC-reg Kalori ni nini? Kwa ufupi, kalori ni kitengo kinachopima nishati. Kalori hutumiwa kupima maudhui ya nishati ya vyakula na...
https://www.youtube.com/watch?v=iE8k-i0X9Xk&t=1s Jinsi Ya Kufanya Mazoezi Ya Body Balance Mazoezi ya Body balance yanasaidia sana katika msawaziko wa mwili na katika...
https://www.youtube.com/watch?v=qQiuay9fzAQ&t=1s Aina (4) Za Mazoezi Ya Kuzuia Maumivu Ya Hedhi Maumivu ya hedhi ni tatizo kubwa kwa wanawake wengi, hivyo...
https://www.youtube.com/watch?v=66VqjncGw0o Jinsi Ya Kufanya Zoezi La Squat Japo kuwa Squat ni zoezi zuri sana, lakini ukilikosea linaweza kukupa madhara badala...
https://www.youtube.com/watch?v=BoHY7B4M_EE Jinsi Ya Kutumia Tairi Katika Kujenga Mwili Wako Tairi ni moja ya nyenzo muhimu sana itakayo kusaidia katika mazoezi...
https://www.youtube.com/watch?v=QDu-HMqozgA&t=1s Kubadilisha lishe kunaweza kupunguza kwa kiasi kikubwa shinikizo la damu. Utafiti umeonyesha kuwa vyakula fulani vinaweza kupunguza shinikizo la...