Je Mitishamba Hutibu Nguvu Za Kiume?
Nguvu za kiume ni swala pana sana kwani watu wengi hasa vijana wamekua wakisumbuliwa na
tatizo hili na wengi wao kutokana na kukosa elimu inayo husiana sana na jambo hili
Zipo dawa za asili zinazo weza kutibu swala hili lakini kabla ya kupata matibabu haya
lazima ujue chanzo cha tatizo na ndipo upate huduma ya dawa hizi.Zipo sababu za aina mbalimbali zinazo sababisha mtu kuksa nguvu za kiume kama vile
1.Aina ya chakula unacho kula
Kula chakula kisicho zingatia hali ya kiafya kama vile kula kuku za kisasa sana
na na vyakula vyenye mafuta mengi kinaongeza tatizo la nguvu za kiume, hivyo ni muhimu kuzingatia chakula bora.
Asante endelea kufuatilia kurasa zetu na subscribe Channel Yetu Ya Youtube tiztu kwa habari na video zote zinazohusu Afya ,chakula na mazoezi.
