Viatu virefu kwa wanawake Maranyingi huvaliwa kwenye masherehe makubwa maharusini au tukio lolote lile la burudani, Maranyingi wanawake hupenda kuvaa viatu hivi ili kujiongezea mvuto mbele za watu. Zipo Kanuni za kuzingatia unapo vaa viatu hivi maana usipo zingati pia vinaweza kukuaibisha
Aina za viatu virefu
Viatu virefu vyenye urefu wa nchi sita
Viatu hivi huvaliwa kwenye tukio la mda mfupi sana na ambalo halihitaji kutembea sana kama vile kupigia picha nakadhalika.
2.Kiatu cha nchi nne
Hiki ni kiatu ambacho kina kisigino cha urefu kiasi kiatu hiki unaweza kuvaa kwenye shughuli za aina fulani kama vile makanisani pia unaweza ukatembelea katika umbali kiasi kwani havichoshi miguu yako kama vile vya nchi sita.
3.Viatu vya nchi mbili
Hivi ni viatu ambavyo kikanyagio chake cha nyuma huwa sio kirefu sana unaweza ukavaa na kweda nacho umbali kiasi na mara nyingi wanawake huvivaa kazini au ofisini.
4.Kiatu cha nchi tano
Hiki ni kama cha nchi sita lakini kina sehemu kubwa cha chini ya kukanyagia hiki kiatu ni kizuri katika tukio ambalo linahitaji usimame kwa muda mrefu sana kama vile tukio la ndoa nakadharika.
Unapo nunua viatu hivi zingatia vitu vifuatavyo
1.Kiatu kinacho weza kukubeba, Hapa zingatia kiatu unacho kivaa kinatosha vizuri mguu wako wengine huvaa viatu vya aina hii lakini unakuta sehemu ya mguu ipo nje 2.Hakikisha kikanyagi chake hakija isha au kutoka hasa kwa vile viatu vya nchi ndefu kama ile ya nchi sita. 3.Urefu wa kikanyagio cha Nyuma 4.kiwe na(Roughness) kwenye sehemu ya unyayo wa kiatu hii inasaidi kiatu kutoteleza hatakutembea kwenye maeneo kama ya sakafu ya marumaru.
Vitu vya kuzingatia unapo tembea na viatu vyenye vikanyagio virefu 1.Hakikisaha visigino ndio vinatangulia kukanyaga chini kabla ya vidole, Hii itakusaidia wewe kua na balansi hivyo kutoweza kudondoka au kuteleza kiurahisi
Asante endelea kufuatilia kurasa zetu na subscribe Channel Yetu Ya Youtube tiztu kwa habari na video zote zinazohusu Afya ,chakula na mazoezi.
https://youtu.be/RcxdLwC-reg Kalori ni nini? Kwa ufupi, kalori ni kitengo kinachopima nishati. Kalori hutumiwa kupima maudhui ya nishati ya vyakula na...
https://www.youtube.com/watch?v=iE8k-i0X9Xk&t=1s Jinsi Ya Kufanya Mazoezi Ya Body Balance Mazoezi ya Body balance yanasaidia sana katika msawaziko wa mwili na katika...
https://www.youtube.com/watch?v=qQiuay9fzAQ&t=1s Aina (4) Za Mazoezi Ya Kuzuia Maumivu Ya Hedhi Maumivu ya hedhi ni tatizo kubwa kwa wanawake wengi, hivyo...
https://www.youtube.com/watch?v=66VqjncGw0o Jinsi Ya Kufanya Zoezi La Squat Japo kuwa Squat ni zoezi zuri sana, lakini ukilikosea linaweza kukupa madhara badala...
https://www.youtube.com/watch?v=BoHY7B4M_EE Jinsi Ya Kutumia Tairi Katika Kujenga Mwili Wako Tairi ni moja ya nyenzo muhimu sana itakayo kusaidia katika mazoezi...
https://www.youtube.com/watch?v=QDu-HMqozgA&t=1s Kubadilisha lishe kunaweza kupunguza kwa kiasi kikubwa shinikizo la damu. Utafiti umeonyesha kuwa vyakula fulani vinaweza kupunguza shinikizo la...