Mazoezi haya yanasaidia pale ambapo hauna kifaa kingine cha mazoezi. Kwahiyo unaweza kutumia kiti chenye uzito fulani.
1.Kunyanyua kiti huku unesimama wima bila kupindisha mgongo wako
Katika zoezi hili weka kiti chako na kukirudisha kwa umbali fulani unapo nyanyua kiti chako hakikisha miguu yako umeipanua ili kukupa balansi, pia unapo nyanyua na kukiweka chini alafu unakinyanyua tena.
2.Kunyanyanyua kiti chako kutoka kushoto na kukiweka kati tena kukirudisha upande wa kushoto
hakikisha unapo nyanyua kiti chako mgongo wako unyooke, Zoezi hili ni Muhimu sana katika kiuno miguu na tumbo na makalio Fanya zoezi hili Kwa pande zote ,Upande wa kushoto na kulia
3.Zoeezi la kunyanyua mguu wako huku ukiegemea kiti chako na kugusisha kifundo cha mkono wako na goti lako.
fanya zoezi hili kwa pande zote zoezi hili ni muhimu sana kwani linakusaidia kushepu hipsi zako na makalio
4.Zoezi la kuegemea kiti chako na goti huku ukinyanyua mguu wako juu na kushusha chini
5.Zoezi la kupitisha mguu wako juu kiti huku ukisimama juu na kushuka chini(Squart ya kiti)
6.Zoezi la kupishanisha miguu yako juu chini kama ukipanda mlima huku ukiwa umeshikilia kiti (mountain climber)
Zoezi hili linasaidia kuondoa tumbo na nyama za pembeni
7.Zoezi la kupiga pushup kupitia kiti chako
8.zoezi la kupiga pushup huku ukikigusa kiti chako kwa mkono
9.Zoezi la kunyanyua mguu wako juu na kuegemeza kwenye kiti chako
Asante endelea kufuatilia kurasa zetu na subscribe Channel Yetu Ya Youtube tiztu kwa habari na video zote zinazohusu Afya ,chakula na mazoezi.
https://youtu.be/RcxdLwC-reg Kalori ni nini? Kwa ufupi, kalori ni kitengo kinachopima nishati. Kalori hutumiwa kupima maudhui ya nishati ya vyakula na...
https://www.youtube.com/watch?v=iE8k-i0X9Xk&t=1s Jinsi Ya Kufanya Mazoezi Ya Body Balance Mazoezi ya Body balance yanasaidia sana katika msawaziko wa mwili na katika...
https://www.youtube.com/watch?v=qQiuay9fzAQ&t=1s Aina (4) Za Mazoezi Ya Kuzuia Maumivu Ya Hedhi Maumivu ya hedhi ni tatizo kubwa kwa wanawake wengi, hivyo...
https://www.youtube.com/watch?v=66VqjncGw0o Jinsi Ya Kufanya Zoezi La Squat Japo kuwa Squat ni zoezi zuri sana, lakini ukilikosea linaweza kukupa madhara badala...
https://www.youtube.com/watch?v=BoHY7B4M_EE Jinsi Ya Kutumia Tairi Katika Kujenga Mwili Wako Tairi ni moja ya nyenzo muhimu sana itakayo kusaidia katika mazoezi...
https://www.youtube.com/watch?v=QDu-HMqozgA&t=1s Kubadilisha lishe kunaweza kupunguza kwa kiasi kikubwa shinikizo la damu. Utafiti umeonyesha kuwa vyakula fulani vinaweza kupunguza shinikizo la...