Mazoezi Unayoweza Kufanya Badala Ya Kukimbia
Watu wengi sana wanakua wamebanwa na shughuli zao za kazi hivyo kushidwa kupata mda wa kufanya mazoezi ya kukimbia. Mazoezi ya kukimbia ni muhimu sana kwa moyo wako pamoja na mapafu. Nimekuletea mbadala wa mazoezi ya kukimbia ambayo unaweza kufanya nyumbani kwako.
1.Kuruka kamba
Unapokua unaruka kamba hakikisha macho yako yanaangalia mbele na wewe
usiwe unapindapinda.
Zoezi la kuruka kamba linasaidia kuimarisha misuli ya miguu na kuongea kasi ya mzunguko wa damu, Kwahiyo ukifanya zoezi hili ni sawa kabisa na mtu anae fanya zoezi la kukimbia kwasababu linatumia nguvu kubwa kwenye kuruka.
2.Zoezi la kuruka huku umetanua mikono yako juu na kushusha chini
Fanya hivo ndani ya mara ishirini huku ukipumzika kidogo na unapo pumzika
usisimame maana utapoza mudi kwahiyo unapo pumzika unakua unatembea kidogo kidogo
4.Zoezi la kuzungusha kiuno huku ukiwa umesimama
Zoezi hili linasaidia kupunguza nyama za pembembeni unaweza kufanya zoezi hili ndani ya mara kumi au zaidi
5.Zoezi La kuruka juu huku unagusa mapaja yako na mikono(High hill)
6.Zoezi la kuruka huku ukigusa miguu yako na vidole vya mkononi kwa upade wa nyuma
unapo gusa hakikisha uwe unahesabu
6.Kukimbia huku umesimama sehemu moja(Joggng in one place)
7.Zoezi la kuruka huku unagusa magoti yako
Asante endelea kufuatilia kurasa zetu na subscribe Channel Yetu Ya Youtube tiztu kwa habari na video zote zinazohusu Afya ,chakula na mazoezi.
