Jinsi Ya Kufanya Mazoezi Kwa Kutumia Kigoda!
Vifaa vinavyopatikana majumbani kwetu vinaweza kutumika kama vifaa vya mazoezi. Hapa tunaenda kuona aina mbalimbali za mazoezi unayoweza kufanya nyumbani kwa kutumia Kigoda au stuli. Tazama video hapo juu kujifunza zaidi
1.Kupanda juu na kushuka chini(Step up and step down)

katika zoezi hili unachukua kiti chako alafU unaweka mguu juu na kusimama alafu unashuka
chini,f anya zoezi hili mara ishirini au zaidi. katika zoezi hili litakusaidia kuimarisha misuli ya mapaja
na misuli ya miguu
6.Zoezi la kukaa kwenye kiti huku ukiinua mguu mmoja mmoja juu
na kushusha chini

7.Zoezi la kuitanua miguu yako huku ukiirudisha kwa nyuma(hips extension)

katika zoezi hili litakusaidia kuimaLisha misuli ya nyonga pia kwa mwanamke ni zoezi zuri sana litakusaidia kupunguza maumivu hata wakati wa hedhi
8.Zoezi la kugusanisha kifundo cha mkono na kisigino cha goti

Asante endelea kufuatilia kurasa zetu na subscribe Channel Yetu Ya Youtube tiztu kwa habari na video zote zinazohusu Afya ,chakula na mazoezi.
