VIDEO
Jinsi Ya Kufanya Zoezi La Squat Japo kuwa Squat ni zoezi zuri sana, lakini ukilikosea linaweza kukupa madhara badala ya faida. Hapa tutaoona njia sahihi ya kufanya zoezi la squat
Zipo squat za aina mbalimbali lakini vitu vya kuzingatika katika squart ni
1.Ukiwa umesimama ukiwa unarudi chini hakikisha mgongo wako umenyooka
2.Hakikisha angle nyuzi tisini kati ya mguu na paja
03.Kitu cha tatu cha kuzingatia wakati unanyanyuka juu fanya kiuno chako kiwe kama kinaenda mbele
04.Hakikisha una nyooka na kuangalia mbele huku Ukiwa unaenda juu na kushuka chini
Faida za mazoezi ya Squart
01.Husaidia kuweka nyonga zako kua vizuri na kuimarisha misuli ya nyonga.
02.Kufanya kua na muonekano mzuri wa umbo la mwili wako hasa kwa wanawake
03.Kuimarisha misuli ya miguu
*Hakikisha unapo fanya zoezi hili unafata kanuni hizi maana usipozingatia unaweza kuumiza miguu na migongo
Asante endelea kufuatilia kurasa zetu na subscribe Channel Yetu Ya Youtube tiztu kwa habari na video zote zinazohusu Afya ,chakula na mazoezi.
VIDEO
Team Tiztu – 13th May 2022
Team Tiztu – 13th May 2022
Team Tiztu – 21st April 2022
Team Tiztu – 21st April 2022
Team Tiztu – 21st April 2022
Team Tiztu – 7th April 2022
Team Tiztu – 26th March 2022
Team Tiztu – 26th March 2022
Team Tiztu – 26th March 2022
Team Tiztu – 22nd March 2022
Team Tiztu – 21st March 2022
Team Tiztu – 19th March 2022
Team Tiztu – 16th March 2022
Team Tiztu – 15th March 2022
Team Tiztu – 14th March 2022
Team Tiztu – 14th March 2022
Team Tiztu – 14th March 2022
Team Tiztu – 14th March 2022
Team Tiztu – 13th March 2022
Team Tiztu – 13th March 2022
Team Tiztu – 13th May 2022
Aina za Push-Ups—na Jinsi Zinavyokusaidia. Pushup ni mojawapo ya mazoezi makubwa zaidi ya hali ya jumla kwa mwanariadha, na unaweza...
Read More
Team Tiztu – 13th May 2022
Kwanini Usimnyamazishe Mtu Akilia, Na Nini Faida Ya Kulia? Kulia ni hisia za kuelezea vile mtu anavyojisikia. Ni hisia ambazo...
Read More
Team Tiztu – 21st April 2022
Lishe bora ni nini? Lishe bora ni mjumuisho wa vyakula vya aina tofauti tofauti ambavyo huupa mwili wako virutubishi vinavyohitajika...
Read More
Team Tiztu – 21st April 2022
Aina za Protini za poda za Kujenga Misuli Poda za protini zimekuwa na manufaa makubwa sana hasa kwa wanariadha ,washindani...
Read More
Team Tiztu – 21st April 2022
Kalori Tupu ni nini? Kalori tupu ni zile zinazotoa nishati lakini thamani yake ya lishe au virutubishi ni vya kiwango...
Read More
Team Tiztu – 7th April 2022
Athari za matumizi ya pombe kiafya. Madhara ya pombe hutofautiana kati ya mtu na mtu. Ingawa watu wengine wanaweza kupunguza...
Read More
Team Tiztu – 26th March 2022
Kwa nini Wanaume Hupunguza Uzito haraka sana? Ingawa inaonekana kwamba wanaume huwa na kupoteza uzito haraka zaidi kuliko wanawake, hii...
Read More
Team Tiztu – 26th March 2022
Je,Usingizi Unaumuhimu gani Kwa Afya na Tunahitaji Kwa Kiasi gani? Utafiti wa kisayansi unaonyesha wazi kwamba usingizi ni muhimu katika...
Read More
Team Tiztu – 26th March 2022
Aina Za Vyakula Vinavyo Ongeza Uzito Haraka Baadhi ya watu wengi hupata ugumu sana kuongeza uzito, sawa na wale wanao...
Read More
Team Tiztu – 22nd March 2022
Je, Ni vitu gani vinasababisha uzito kubadilika mara kwa mara? Ni kitu cha kushangaza lakini ndo ukweli, mara nyingi kama...
Read More
Team Tiztu – 21st March 2022
Jinsi ya kufanya zoezi la Wheel pose katika yoga Je, Wheel poseni nini? Wheel Pose ni mkao wa yoga ambaya...
Read More
Team Tiztu – 19th March 2022
Makosa 8 yanayo fanywa zaidi na mtu anae anza mazoezi ya GYM Unapo anza safari yako ya kujenga misuli kwa...
Read More
Team Tiztu – 16th March 2022
Je? Gramu ngapi za Mafuta - Unapaswa Kula Kwa Siku? Mafuta ni sehemu muhimu ya mlo wako, lakini kufikiri ni...
Read More
Team Tiztu – 15th March 2022
Ukiwa kama mtembezi wa usiku unakua unajihatarisha kukutana na vibaka (siyo majambazi) lakini kuishi kwangu maeneo mbali mbali sijawahi kukabwa...
Read More
Team Tiztu – 14th March 2022
https://youtu.be/RcxdLwC-reg Kalori ni nini? Kwa ufupi, kalori ni kitengo kinachopima nishati. Kalori hutumiwa kupima maudhui ya nishati ya vyakula na...
Read More
Team Tiztu – 14th March 2022
https://www.youtube.com/watch?v=iE8k-i0X9Xk&t=1s Jinsi Ya Kufanya Mazoezi Ya Body Balance Mazoezi ya Body balance yanasaidia sana katika msawaziko wa mwili na katika...
Read More
Team Tiztu – 14th March 2022
https://www.youtube.com/watch?v=qQiuay9fzAQ&t=1s Aina (4) Za Mazoezi Ya Kuzuia Maumivu Ya Hedhi Maumivu ya hedhi ni tatizo kubwa kwa wanawake wengi, hivyo...
Read More
Team Tiztu – 14th March 2022
https://www.youtube.com/watch?v=66VqjncGw0o Jinsi Ya Kufanya Zoezi La Squat Japo kuwa Squat ni zoezi zuri sana, lakini ukilikosea linaweza kukupa madhara badala...
Read More
Team Tiztu – 13th March 2022
https://www.youtube.com/watch?v=BoHY7B4M_EE Jinsi Ya Kutumia Tairi Katika Kujenga Mwili Wako Tairi ni moja ya nyenzo muhimu sana itakayo kusaidia katika mazoezi...
Read More
Team Tiztu – 13th March 2022
https://www.youtube.com/watch?v=QDu-HMqozgA&t=1s Kubadilisha lishe kunaweza kupunguza kwa kiasi kikubwa shinikizo la damu. Utafiti umeonyesha kuwa vyakula fulani vinaweza kupunguza shinikizo la...
Read More