Aina (4) Za Mazoezi Ya Kuzuia Maumivu Ya Hedhi

Aina (4) Za Mazoezi Ya Kuzuia Maumivu Ya Hedhi

Maumivu ya hedhi ni tatizo kubwa kwa wanawake wengi, hivyo zipo aina kuu za mazoezi yatakayo kusaidia kuondoa maumivu ya hedhi ukiyafanya.

1.Kutembea

Walking or running on trail, adventure and exercising in mountain

Kutembea ni njia salama na nzuri inayosaidia kuujenga na kuuimarisha moyo uwe na afya nzuri na usio katika hatari ya kushambuliwa na maradhi. Mazoezi au tabia ya kufanya mazoezi inayo faida kubwa zaidi kuliko matumizi ya dawa.

1. Mazoezi husaidia kupunguza uzito, tembea lisaa limoja kila siku
2. Ni mazoezi yanayoweza kufanywa na kila mtu
3. Ni mazoezi yasiyohitaji vifaa/hayana gharama
4. Ndiyo njia rahisi kabisa ya kuufanya mwili kuwa mkakamavu
5. Hupunguza dalili za majonzi na wasiwasi
6. Ni mazoezi yenye matokeo ya taratibu
7. Hupunguza uwezekano wa kupatwa na kolesto/lehemu
8. Hupunguza na kutibu shinikizo la damu
9. Hupunguza uwezekano wa kupatwa na baadhi za kansa
10. Hupunguza uwezekano wa kupatwa na kisukari
11. Hukufanya ujisikie vizuri
12. Husaidia kuimarisha mifupa
13. Husaidia kupunguza uwezekano wa kupatwa na shambulio la moyo
14. Ni mazoezi uwezayo kuyafanya bila kukusababishia ajari au maumivu makubwa
15. Hupunguza mfadhaiko/stress
16. Hupunguza uwezekano wa kupatwa na ugonjwa wa moyo
17. Ni mazoezi unayoweza kuyafanya bure bila kulipia chochote
18. Husaidia kuimarisha mishipa
19. Husaidia katika mfumo wa upumuwaji
20. Husaidia kuongeza mzunguko wa damu

unaweza kua unatembea ukiwa ndani ya nyumba yako au umbali flani mdogo nk

02 kucheza

Imejulikana kwa miaka mingi kuwa mazoezi ya mwili na mazoezi ya michezo hutoa faida nyingi za mwili, kwa mfano kusaidia kuboresha utendaji wa mifumo ya upumuaji, mzunguko wa damu na mifupa. Lakini tunapocheza, tunapata faida za mazoezi ya mwili ya aerobic, na pia tunafaidika kwa kiwango cha kisaikolojia na kihemko

mwanamke au msichana anapokua kwenye hedhi maranyingi anakua na mawazo na stress nyingi sana,hivyo kuuburudisha mwili kwa kucheza mziki unapunguza stress na mawazo uliyo kua nayo

03 yoga

Children Exercising With Trainer In Yoga Class

mazoezi ya yoga husaidia kutuliza akili

kunyoosha misuli

kuunganisha mwili pamoja na akili zako

husaidia kuondoa msongo wa mawazo

04 mazoezi ya balance

Balance exercise - young woman exercising in park

mazoezi ya balance yanahusisha zaidi sehem yakati ya mwili wako ambapo nguvu ya kani ilipo pia ni sehemu ambapo viungo vya uzazi vilipo hivyo unapo fanya mazoezi ya balance yanakusaidia kuondoa maumivu

1.kufanya mzunguko wako wa hedhi uwe vizuri

2..kuondoa stress

3.kuondoa maumivu

4.Hufanya uwe na furaha ukiwa katika siku zako

05.Mazoezi ya kujinyoosha(stretching)

Sportswoman doing stretching exercises outdoor

mara nyingi maumivu wakati wa hedhi hutokea kwasababu viungo vinakua vimebana ile damu chafu wakati inatoka misuli ya ndani inakua inavuta na kuachia.

kwahiyo utakapo kua unafanya mazoezi ya kujinyoosha unasaidia ile misuli iweze kulegea na kukaa vizuri hivyo kupunguza maumivu wakati wa hedhi

07 mazoezi ya kutafakali(meditation)

Woman doing some meditation exercise at home

Hii ni kama kusali, kaa sehemu tulivu

kusikiliza nyimbo nzuri za kutafakalisha mazoezi haya yanasaidia kujipa mtumaini

hivyo kupunguza mawazo na kufanya mwili wako kujirudi katika hali ya kawaida

Kitu cha kuzingatia ni kua usizidishe sana mazoezi haya, kwani kutafakali sana kunaweza kuongeza zaidi mawazo akilini mwako. Pia kama wewe ni mtu wa mazoezi jaribu kuchanganya na mazoezi mengine kama vile kukimbia, kutembeana na aina nyingine yeyote ya mazoezi madogo madogo.

Zingatia unapo kua kwenye siku zako hauhitaji kufanya mazoezi magumu

Asante endelea kufuatilia kurasa zetu na subscribe Channel Yetu Ya Youtube tiztu kwa habari na video zote zinazohusu Afya ,chakula na mazoezi.

Jiunge Na Programu za mazoezi na chakula hapa

Aina za Push-Ups—na Jinsi Zinavyokusaidia
BMI Chakula Kujenga Mwili Kujikinga kupungua uzito

Aina za Push-Ups—na Jinsi Zinavyokusaidia

Kwanini Usimnyamazishe Mtu Akilia, Na Nini Faida Ya Kulia?
Uncategorized

Kwanini Usimnyamazishe Mtu Akilia, Na Nini Faida Ya Kulia?

Lishe Bora Na Diet Ni nini?
BMI Chakula Kujenga Mwili Kujikinga kupungua uzito

Lishe Bora Na Diet Ni nini?

Aina za Protini za poda za Kujenga Misuli
BMI Chakula Kujenga Mwili Kujikinga kupungua uzito

Aina za Protini za poda za Kujenga Misuli

Kalori Tupu
kupungua uzito

Kalori Tupu

Athari za matumizi ya pombe kiafya
BMI Chakula Kujenga Mwili Kujikinga kupungua uzito

Athari za matumizi ya pombe kiafya

Kwa nini Wanaume  Hupunguza Uzito haraka?
kupungua uzito Mazoezi

Kwa nini Wanaume  Hupunguza Uzito haraka?

Je,Usingizi Ni Muhimu Kiasi Gani Kwa Afya na Tunahitaji Kwa Kiasi Gani?
Chakula Kujenga Mwili

Je,Usingizi Ni Muhimu Kiasi Gani Kwa Afya na Tunahitaji Kwa Kiasi Gani?

Aina Za Vyakula Vinavyo Ongeza Uzito Haraka
Chakula Kujenga Mwili kupungua uzito

Aina Za Vyakula Vinavyo Ongeza Uzito Haraka

Je, Ni Nini Husababisha Uzito Kubadilika Mara Kwa Mara?
Chakula Kujenga Mwili Kujikinga kupungua uzito

Je, Ni Nini Husababisha Uzito Kubadilika Mara Kwa Mara?

Jinsi Ya Kufanya Zoezi La (Wheel pose) Na Umuhimu Wake.
Kujenga Mwili kupungua uzito

Jinsi Ya Kufanya Zoezi La (Wheel pose) Na Umuhimu Wake.

Makosa 8 yanayo fanywa zaidi na mtu anae anza mazoezi ya GYM
Kujenga Mwili kupungua uzito

Makosa 8 yanayo fanywa zaidi na mtu anae anza mazoezi ya GYM

Je? Gramu ngapi za Mafuta – Unapaswa Kula Kwa Siku?
Chakula

Je? Gramu ngapi za Mafuta – Unapaswa Kula Kwa Siku?

Fahamu mbinu za kukwepa vibaka
Kujikinga Uncategorized

Fahamu mbinu za kukwepa vibaka

Je! Unapaswa Kula Kalori Ngapi Kwa Siku Ili Kupunguza Uzito?
Uncategorized

Je! Unapaswa Kula Kalori Ngapi Kwa Siku Ili Kupunguza Uzito?

Jinsi Ya Kufanya Mazoezi Ya Body Balance
Uncategorized

Jinsi Ya Kufanya Mazoezi Ya Body Balance

Aina (4) Za Mazoezi Ya Kuzuia Maumivu Ya Hedhi
Uncategorized

Aina (4) Za Mazoezi Ya Kuzuia Maumivu Ya Hedhi

Jinsi Ya Kufanya Zoezi La Squat
Uncategorized

Jinsi Ya Kufanya Zoezi La Squat

Jinsi Ya Kutumia Tairi Katika Kujenga Mwili Wako
Kujenga Mwili

Jinsi Ya Kutumia Tairi Katika Kujenga Mwili Wako

Vyakula Bora Kwa Kutibu Shinikizo La Damu 
kupungua uzito

Vyakula Bora Kwa Kutibu Shinikizo La Damu 

Aina za Push-Ups—na Jinsi Zinavyokusaidia
BMI Chakula Kujenga Mwili Kujikinga kupungua uzito

Aina za Push-Ups—na Jinsi Zinavyokusaidia

Aina za Push-Ups—na Jinsi Zinavyokusaidia. Pushup ni mojawapo ya mazoezi makubwa zaidi ya hali ya jumla kwa mwanariadha, na unaweza...
Read More
Kwanini Usimnyamazishe Mtu Akilia, Na Nini Faida Ya Kulia?
Uncategorized

Kwanini Usimnyamazishe Mtu Akilia, Na Nini Faida Ya Kulia?

Kwanini Usimnyamazishe Mtu Akilia, Na Nini Faida Ya Kulia? Kulia ni hisia za kuelezea vile mtu anavyojisikia. Ni hisia ambazo...
Read More
Lishe Bora Na Diet Ni nini?
BMI Chakula Kujenga Mwili Kujikinga kupungua uzito

Lishe Bora Na Diet Ni nini?

Lishe bora ni nini? Lishe bora ni mjumuisho wa vyakula vya aina tofauti tofauti ambavyo huupa mwili wako virutubishi vinavyohitajika...
Read More
Aina za Protini za poda za Kujenga Misuli
BMI Chakula Kujenga Mwili Kujikinga kupungua uzito

Aina za Protini za poda za Kujenga Misuli

Aina za Protini za poda za Kujenga Misuli Poda za protini zimekuwa na manufaa makubwa sana hasa kwa wanariadha ,washindani...
Read More
Kalori Tupu
kupungua uzito

Kalori Tupu

Kalori Tupu ni nini? Kalori tupu ni zile zinazotoa nishati lakini thamani yake ya lishe au virutubishi ni vya kiwango...
Read More
Athari za matumizi ya pombe kiafya
BMI Chakula Kujenga Mwili Kujikinga kupungua uzito

Athari za matumizi ya pombe kiafya

Athari za matumizi ya pombe kiafya. Madhara ya pombe hutofautiana kati ya mtu na mtu. Ingawa watu wengine wanaweza kupunguza...
Read More
Kwa nini Wanaume  Hupunguza Uzito haraka?
kupungua uzito Mazoezi

Kwa nini Wanaume  Hupunguza Uzito haraka?

Kwa nini Wanaume  Hupunguza Uzito haraka sana? Ingawa inaonekana kwamba wanaume huwa na kupoteza uzito haraka zaidi kuliko wanawake, hii...
Read More
Je,Usingizi Ni Muhimu Kiasi Gani Kwa Afya na Tunahitaji Kwa Kiasi Gani?
Chakula Kujenga Mwili

Je,Usingizi Ni Muhimu Kiasi Gani Kwa Afya na Tunahitaji Kwa Kiasi Gani?

Je,Usingizi Unaumuhimu gani Kwa Afya na Tunahitaji Kwa Kiasi gani? Utafiti wa kisayansi unaonyesha wazi kwamba usingizi ni muhimu katika...
Read More
Aina Za Vyakula Vinavyo Ongeza Uzito Haraka
Chakula Kujenga Mwili kupungua uzito

Aina Za Vyakula Vinavyo Ongeza Uzito Haraka

Aina Za Vyakula Vinavyo Ongeza Uzito Haraka Baadhi ya watu wengi hupata ugumu sana kuongeza uzito, sawa na wale wanao...
Read More
Je, Ni Nini Husababisha Uzito Kubadilika Mara Kwa Mara?
Chakula Kujenga Mwili Kujikinga kupungua uzito

Je, Ni Nini Husababisha Uzito Kubadilika Mara Kwa Mara?

Je, Ni vitu gani vinasababisha uzito kubadilika mara kwa mara? Ni kitu cha kushangaza lakini ndo ukweli, mara nyingi kama...
Read More
Jinsi Ya Kufanya Zoezi La (Wheel pose) Na Umuhimu Wake.
Kujenga Mwili kupungua uzito

Jinsi Ya Kufanya Zoezi La (Wheel pose) Na Umuhimu Wake.

Jinsi ya kufanya zoezi la Wheel pose katika yoga  Je, Wheel poseni nini?  Wheel Pose ni mkao wa yoga ambaya...
Read More
Makosa 8 yanayo fanywa zaidi na mtu anae anza mazoezi ya GYM
Kujenga Mwili kupungua uzito

Makosa 8 yanayo fanywa zaidi na mtu anae anza mazoezi ya GYM

Makosa 8 yanayo fanywa zaidi na mtu anae anza mazoezi ya GYM Unapo anza safari yako ya kujenga misuli kwa...
Read More
Je? Gramu ngapi za Mafuta – Unapaswa Kula Kwa Siku?
Chakula

Je? Gramu ngapi za Mafuta – Unapaswa Kula Kwa Siku?

Je? Gramu ngapi za Mafuta - Unapaswa Kula Kwa Siku? Mafuta ni sehemu muhimu ya mlo wako, lakini kufikiri ni...
Read More
Fahamu mbinu za kukwepa vibaka
Kujikinga Uncategorized

Fahamu mbinu za kukwepa vibaka

Ukiwa kama mtembezi wa usiku unakua unajihatarisha kukutana na vibaka (siyo majambazi) lakini kuishi kwangu maeneo mbali mbali sijawahi kukabwa...
Read More
Je! Unapaswa Kula Kalori Ngapi Kwa Siku Ili Kupunguza Uzito?
Uncategorized

Je! Unapaswa Kula Kalori Ngapi Kwa Siku Ili Kupunguza Uzito?

https://youtu.be/RcxdLwC-reg Kalori ni nini?  Kwa ufupi, kalori ni kitengo kinachopima nishati. Kalori hutumiwa kupima maudhui ya nishati ya vyakula na...
Read More
Jinsi Ya Kufanya Mazoezi Ya Body Balance
Uncategorized

Jinsi Ya Kufanya Mazoezi Ya Body Balance

https://www.youtube.com/watch?v=iE8k-i0X9Xk&t=1s Jinsi Ya Kufanya Mazoezi Ya Body Balance Mazoezi ya Body balance yanasaidia sana katika msawaziko wa mwili na katika...
Read More
Aina (4) Za Mazoezi Ya Kuzuia Maumivu Ya Hedhi
Uncategorized

Aina (4) Za Mazoezi Ya Kuzuia Maumivu Ya Hedhi

https://www.youtube.com/watch?v=qQiuay9fzAQ&t=1s Aina (4) Za Mazoezi Ya Kuzuia Maumivu Ya Hedhi Maumivu ya hedhi ni tatizo kubwa kwa wanawake wengi, hivyo...
Read More
Jinsi Ya Kufanya Zoezi La Squat
Uncategorized

Jinsi Ya Kufanya Zoezi La Squat

https://www.youtube.com/watch?v=66VqjncGw0o Jinsi Ya Kufanya Zoezi La Squat Japo kuwa Squat ni zoezi zuri sana, lakini ukilikosea linaweza kukupa madhara badala...
Read More
Jinsi Ya Kutumia Tairi Katika Kujenga Mwili Wako
Kujenga Mwili

Jinsi Ya Kutumia Tairi Katika Kujenga Mwili Wako

https://www.youtube.com/watch?v=BoHY7B4M_EE Jinsi Ya Kutumia Tairi Katika Kujenga Mwili Wako Tairi ni moja ya nyenzo muhimu sana itakayo kusaidia katika mazoezi...
Read More
Vyakula Bora Kwa Kutibu Shinikizo La Damu 
kupungua uzito

Vyakula Bora Kwa Kutibu Shinikizo La Damu 

https://www.youtube.com/watch?v=QDu-HMqozgA&t=1s Kubadilisha lishe kunaweza kupunguza kwa kiasi kikubwa shinikizo la damu. Utafiti umeonyesha kuwa vyakula fulani vinaweza kupunguza shinikizo la...
Read More
Load More