Jinsi Ya Kuondoa Kitambi Kwa Mda Mfupi
Watu wengi wanasumbuliwa na tatizo la vitambi hivyo kukosa mda wa kufanya
mazoezi ili kupunguza vitambi hivyo yafuatayo ni baadhi ya mazoezi mafupi sana yanaweza kuondoa ktambi kwa mda mfupi ambayo unaweza kufanyia hadi nyumbani kwako.
1.Zoezi la kutanua miguu huku umenyoosha mikono yako chini(Plunking)

Katika
zoezi hili hakikisha mgongo wako umenyooka vizuri kabisa kwa muda wa dakika therathini au zaidi
2.Zoezi la kuegemea viwiko vya mikono yako

Katika zoezi hili utajihisi misuli ya tumbo inavuta kaa kwa namna hiyo kwa muda
wa dakika therathini au zaidi
3.Zoezi la kulala chini huku unainua miguu juu na kushusha chini

Hakikisha miguu yakohaigusi chini kabisa na mikono yako imeshilia sehemu fulani ili kuzuiashingo ya kuinuka inua unaweza kutumia kochi au kitu chochote kizito
5.Zoezi la kuegemeza miguu yako juu ya kitu flan chenye urefu fulani na
na kuanza kuinua kichwa chako kugusa miguu na kushusha chini(cranch)

6.Zoezi la kugusanisha kiwikocha mkono wako na goti lako(mycoclanch)

7.Zoezi la kuinua mgongo na miguu huku ukipishanisha mguu mmoja na mwinginebila kugusa chini(seasonalclanch)

8.Zoezi la kuegemea mikono huku ukiinyoosha miguu yako mbele
na kurudisha nyuma
Asante endelea kufuatilia kurasa zetu na subscribe Channel Yetu Ya Youtube tiztu kwa habari na video zote zinazohusu Afya ,chakula na mazoezi.
