Dawa Za Asili Za Kupunguza Uzito
Katika swala la kupunguza uzito zipo njia za aina mbalimbali zitakazo kuwezesha kupunguza
uzito, Kama vile kwa kufanya mazoezi ,kufata utaratibu sahihi wa kula na nyingine
nyingi lakini zipo njia nyingine kama vile kutumia dawa zinazo weza kukusaidia
kupunguza uzito kwa kutumia dawa.
Dawa hizi zipo za aina mbli za asili na za hosipitalini
Hapa tutaenda kuona aina za dawa za asili ambazo unaweza kuzitumia na
ukafanikiwa kupunguza uzito wako
1.D E T O X P O W D E R
Ni dawa inayotakana na mimea tiba maalumu
kwaajili ya kuyeyusha mafuta mwilini na kuondoa sumu katika mwili.
Zifuatazo ni katika faida za dawa hii ya DETOX POWDER:
- Inayeyusha mafuta mwilini kwa haraka zaidi
- Inaondoa sumu mwilini na kufanya mwili wako uwe katika hali ya usalama zaid kunako magonjwa mbali mbali
kama presha na Kisukari - Inapunguza uzito kwa haraka zaidi(Inapunguza mpaka takribani kilo 7 kila baada ya siku 10)
- Inaondosha KITAMBI
- Inaondosha Nyama UZEMBE
- Inaufanya mwili wako kuwa mwepesi zaidi
Asante endelea kufuatilia kurasa zetu na subscribe Channel Yetu Ya Youtube tiztu kwa habari na video zote zinazohusu Afya ,chakula na mazoezi.
