kuna makundi mbalimbali ya mazoezi ambayo yanakua yana lego la kutengeneza aina flani ya viungo katika mwili wako,kwaiyo unapo kua unafanya lazima uzingatie
1.Eerobics au indurence
Haya ni aina ya mazoezi ambayo yanaonesha uwezo wa mwili wako unapo weza kufikia,mfano wa mazoezi hayo ni kukmbia,kuruka kamba ,pushapu,kurukaruka,squatikuendesha baikeli,kuogelea
ukifanya mazoezi haya husaidia kuongeza kasi ya mzungoko wako wa damu hivyo kutoruhusu kiwango cha mafuta kurundikana mwilini, kwa kufanya mazoezi haya yanakusaidia kuepukika na magonjwa ya moyo,kurekebisha mfumo mzima wa upumuaji,kufanya mwili wako kua na utayari au kuabilina na mambo ya mishituko au ya ghafla.
pia mazoezi haya husaidia kuweka sawa mfumo mzima wa mmengényo wa chakula(metabolism rate),pia hufanya akili zako kuweza kufikili haraka
2.Mazoezi ya strength
Mazoezi haya yanalengo la kujenga mwili na kukomaza mifupa,mazoezi haya yanajumuisha aina ya mazoezi kama vile kuinua vitu(lifting) na mazoezi ya body weight.
mazoezi ya body weight ni mazoezi ambo unatumia uzito wa mwili wako kufanya mazoezi mfano wa mazoezi yaha ni kama squart, plank, pull up, pushup, hip dip
mazoezi kama jump squart haya yanasaidia kujaza uzito katika mwili wako kumbuka kadiri umri unavo zidi kwenda ndivyo mifupa density yake inazidi kupungua ndo maana ikifika umri fulani wa uzee utakuta mifupa inauma na hauwezi kutembea vizuri kwasababu mifupa inakua myepesi
Aina nyingine ya mazoezi ni kama dead lifting, mountain climber, push up, pull up, jump squart
3.Mazoezi ya Balance
Mazoezi ya balance ni muhimu sana kwani yanasaidia usiweze kua unateleza kirahisi,
Balance ya mwili wako inaanzia katikati ya mwili maana ndipo penye gravity, kwahiyo ukiweza kubance mwili wako utaweza kusimama vizuri kutembea vizuri. Pia mazoezi haya yanasaidia kujenga uhusiano mzuri wa akili yako na mwili wako unakua na uwezo wa kusoma mazingira haraharaka na jinsi gani ya kukabiliana nayo. Mfano kama matukio ya kushitusha ghafla unaweza kufanya maamuzi sahihi haraka.
Aina ya mazoezi haya ya balance ni kama vile yoga, karate ,Pilate na aina nyingine ya mazoezi ya mobility
04 Mazoezi ya kujinyoosha(Stretching)
aina ya mazoezi haya ni kama vile spliting, aina hii ya mazoeezi ni muhimu sana kwani yanagusa viungo vingi vya mwili vilivyo sahulika wakati kufanya aina fulani ya zoezi ,chukulia mfano umetoka kukimbia, baadhi ya misuli ya viungo flani kama vile misuli ya shingo, mikono nk inakua haishirikishwi vyakutosha katika zoezi hilo. Kwahiyo unapo fanya body stretching baada ya kukimbia unafanya misuli ile ya shingo na mikono ikae vizur.i
pia mazoezi haya husaidia kukuondoa maumivu ya misuli baada ya kufanya aina flani ya kazi kama vile umebeba mzigo mzito
kwa ujumla unapokua unafanya mazoezi haijalishi lengo lako kubwa nini ni muhimu kuchanganya aina zote za mazoezi ili ufanye mwili wako uwe na umbo zuri la kueleweka
Asante endelea kufuatilia kurasa zetu na subscribe Channel Yetu Ya Youtube tiztu kwa habari na video zote zinazohusu Afya ,chakula na mazoezi.
https://youtu.be/RcxdLwC-reg Kalori ni nini? Kwa ufupi, kalori ni kitengo kinachopima nishati. Kalori hutumiwa kupima maudhui ya nishati ya vyakula na...
https://www.youtube.com/watch?v=iE8k-i0X9Xk&t=1s Jinsi Ya Kufanya Mazoezi Ya Body Balance Mazoezi ya Body balance yanasaidia sana katika msawaziko wa mwili na katika...
https://www.youtube.com/watch?v=qQiuay9fzAQ&t=1s Aina (4) Za Mazoezi Ya Kuzuia Maumivu Ya Hedhi Maumivu ya hedhi ni tatizo kubwa kwa wanawake wengi, hivyo...
https://www.youtube.com/watch?v=66VqjncGw0o Jinsi Ya Kufanya Zoezi La Squat Japo kuwa Squat ni zoezi zuri sana, lakini ukilikosea linaweza kukupa madhara badala...
https://www.youtube.com/watch?v=BoHY7B4M_EE Jinsi Ya Kutumia Tairi Katika Kujenga Mwili Wako Tairi ni moja ya nyenzo muhimu sana itakayo kusaidia katika mazoezi...
https://www.youtube.com/watch?v=QDu-HMqozgA&t=1s Kubadilisha lishe kunaweza kupunguza kwa kiasi kikubwa shinikizo la damu. Utafiti umeonyesha kuwa vyakula fulani vinaweza kupunguza shinikizo la...