Zipo njia kadhaa zinazo weza kukusaidia kupunguza uzito kama vile kufata utaratibu mzuri wa kula chakula pia kufanya mazoezi
swali kubwa watu wengi hujiuliza je unaweza kufata utaratibu wakula pekee ukakufanya upunguze uzito ulio kuanao, Leo tupo na mtaalamu wa mambo ya mazoezi ataenda kutujibia swali hili.
“Kufata utaratibu wakula ni muhimu lakini kufanya mazoezi ni muhimu zaidi,kwani mazoezi yatakufanya uwe na umbo zuri lakini kufata utaratibu wakula pekee ututakufanya upungue lakini hautakua na muonekano mzuri chukulia mfano mwanamke mwenye miaka 60 akiwa anafata utaratibu wa kula pekee ili apunguze uzito na baada ya muda akafanikiwa kupunguza uzito wa kilo ishiri je kimuonekako ataonekanaje? ataonekana mtu aliye zeeka sana sasa kufanya mazoezi pamoja na kufata utaratibu mzuri wa kula vinaenda sambamba”.
Zaidi ya hapo kufata utaratibu pekee wa kula ili upunguze uzito utafanya mwili wako kuwa dhoofu na nyama zako za mwili zinakua zimelegea na ngozi kukunjamana.
Katika gym yetu tunatoa huduma mbalimbali kutokana na na hitaji la mteja.
Tunatoa huduma kama
1.Cardio services

Hapa tuna zungumzia baadhi ya mashine mbalimbali zinazo saidia wakati wa mazoezi kama vile ,stationary bycle electricle bycle nk.
2Resistance training
Hapa tuna zungumzia baadhi ya vitu kama free weight,hauhitaji kutumia machine katika ufanyaji wa mazoezi

Asante endelea kufuatilia kurasa zetu na subscribe Channel Yetu Ya Youtube tiztu kwa habari na video zote zinazohusu Afya ,chakula na mazoezi.
Jiunge Na Programu za mazoezi na chakula hapa
Aina za Push-Ups—na Jinsi Zinavyokusaidia
Kwanini Usimnyamazishe Mtu Akilia, Na Nini Faida Ya Kulia?
Lishe Bora Na Diet Ni nini?
Aina za Protini za poda za Kujenga Misuli
Kalori Tupu
Athari za matumizi ya pombe kiafya
Kwa nini Wanaume Hupunguza Uzito haraka?
Je,Usingizi Ni Muhimu Kiasi Gani Kwa Afya na Tunahitaji Kwa Kiasi Gani?
Aina Za Vyakula Vinavyo Ongeza Uzito Haraka
Je, Ni Nini Husababisha Uzito Kubadilika Mara Kwa Mara?
Jinsi Ya Kufanya Zoezi La (Wheel pose) Na Umuhimu Wake.
Makosa 8 yanayo fanywa zaidi na mtu anae anza mazoezi ya GYM
Je? Gramu ngapi za Mafuta – Unapaswa Kula Kwa Siku?
Fahamu mbinu za kukwepa vibaka
Je! Unapaswa Kula Kalori Ngapi Kwa Siku Ili Kupunguza Uzito?
Jinsi Ya Kufanya Mazoezi Ya Body Balance
Aina (4) Za Mazoezi Ya Kuzuia Maumivu Ya Hedhi
Jinsi Ya Kufanya Zoezi La Squat
Jinsi Ya Kutumia Tairi Katika Kujenga Mwili Wako
Vyakula Bora Kwa Kutibu Shinikizo La Damu
