Aina Za Mazoezi Ya Kuondoa Kibiongo
Mara nyingi kibiongo kinaathiri katika uti wa mgongo na hiki kinasababishwa na vitu, kama vile kutumia simu Kukaa chinini mda mrefu huku umeinama, matatizo ya mifupa au urithi( vinasaba) n.k
Yafuatayo ni baadhi ya mazoezi yanayo weza kukusaidia kutopata kibiongo au kuondoa kibiongo kama unacho.




